Habibi Lyrics by Vinny Flava
Kenyan rising artist Vinny Flava is back with a new song “Habibi”. Enjoy “Habibi” lyrics on Kelxfy. Habibi is a Swahili word that means a lover.
Habibi Lyrics
Vinny Flava (Habibi)
Mmmh (Beat ya Mesesi)
My cherrie toto, toto moto
Umeniweza baby, niweza baby
My sweetie te amor, mi amor, te amor
Mi nakuwaza daily, kuwaza daily
Wewe ndo habibi, habibi
We bodaboda, all over
Wewe ndo habibi, habibi
Kolokolola, kolola
My habibi, wangu lazizi zi
My habibi bi, wangu waridi
My habibi, wangu lazizi zi
My habibi bi, wangu waridi
Kisha tucheze kidogo
Na michezo ya kupeti (Tatatata)
Ukipinda mgongo
Nikishuka nikipanda (Tatatata)
We ni wangu forever
Kuwa nami whenever
We ndo roho yangu baby
My number one
We ni wangu forever
Kuwa nami whenever
We ndo roho yangu baby
My number one
Wewe ndo habibi, habibi
We bodaboda, all over
Wewe ndo habibi, habibi
Kolokolola, kolola
My habibi, wangu lazizi zi
My habibi bi, wangu waridi
My habibi, wangu lazizi zi
My habibi bi, wangu waridi
My habibi, wangu lazizi zi
My habibi bi, wangu waridi
My habibi, wangu lazizi zi
My habibi bi, wangu waridi
Kisha tucheze kidogo
Na michezo ya kupeti (Tatatata)
Ukipinda mgongo
Nikishuka nikipanda (Tatatata)
My habibi, wangu lazizi zi
My habibi bi, wangu waridi
My habibi, wangu lazizi zi
My habibi bi, wangu waridi