Snight Braza ft. Scar Mkadinali – Asante Lyrics

Read “Asante” lyrics by Snight Braza featuring Scar Mkadinali on Kelxfy.
Asante Lyrics
It’s Snight
Kwanza kwangu haimaanishi
Nikikosa ndo siwezi pata
Kwangu haimaanishi
Hawezi nipa nachotaka
Na subira yangu inanipeleka kule
Ambako wengi hawajaona
Naona mi na Mungu wangu
Mi naridhika na chochote
Moja si sawa na bure
Afya yangu na ndo uzima
Bora tu nalala kwangu
Simaanishi nalazimisha yoyote
Kwa hili aniamini
Ila nachoamini kwenye hili
Amebaki Mungu wangu
Simaanishi nalazimisha yoyote
Kwa hili aniamini
Ila nachoamini kwenye hili
Amebaki Mungu wangu
Asante, oh Baba
Baba hallelujah, asante
Asante, oh Baba
Baba hallelujah, asante
(For real, you already know mehn)
If I told you
Nilipendaga kuitishanga za Lunch
Would you believe me?
If I told you
Ni mita ngapi ziko ndani ya bank?
Sai would you believe me?
Nikikuambia ni God, anakuangalia roho
Ukimuambia ofcourse, he will be listening
Tunaspread-ingi love, tunaspread-ingi love
Tunaitumia kutoa ibilisi
Sijui ni chapter gani, verse whicha
Mahali Jah husema nitapata nikiitisha
Ndae pyamu hadi shetani akaibika
Ushaihesabu mathao hadi zikafika mita
Ero Kamano,asante thegio
Rong Rende imejazana ndani ya Demio
One legeh, kama uko tizi both legeh
Dance kama David lakini usiwe ndethe
Ero Kamano,asante thegio
Rong Rende imejazana ndani ya Demio
One legeh, kama uko tizi both legeh
Dance kama David lakini usiwe ndethe
Simaanishi nalazimisha yoyote
Kwa hili aniamini
Ila nachoamini kwenye hili
Amebaki Mungu wangu
Asante, oh Baba
Baba hallelujah, asante
Asante, oh Baba
Baba hallelujah, asante
Yesu wangu, oh asante asante
Kwa yote umenitendea
Nasema ni asante Yesu
Kwa mahali umenitoa
Asante Yesu
Asante asante, aah