Kelx – Mangiri Mathao Freestyle Lyrics

Check out “Mangiri Mathao” Freestyle Lyrics on Kelxfy. “Mangiri Mathao” is the first song by Kelx the Digital Guru aka Kichele Master, the CEO & Founder of Kelxfy.
Mangiri Mathao Freestyle Lyrics
Tangu nitoke kwa block
Siku hizi niko na ma change
Siku hizi niko na mangiri
Siku hizi niko na mathao
Hakuna cha kulalish
Tangu nifikish thelathini
Hakuna cha Alice
Ni grind mode spinning
Mathao mangiri
Madolari na mapounds
‘Grind Szn’ all day
Niite Kichele Master
Aka Mr. Mareignfo!
Tangu nitoke kwa block
Siku hizi niko na ma change
Siku hizi niko na mangiri
Siku hizi niko na mathao
Hakuna cha kulalish
Tangu nifikish thelathini
Hakuna cha Alice
Ni grind mode spinning
Mathao mangiri
Madolari na mapounds
‘Grind Szn’ all day
Niite Kichele Master
Aka Mr. Mareignfo!
Follow Kelx on al socials.
Also read more about Kelx : Who is Kelx? The Digital Creator Empowering Kenyan Youth Through Kelxfy.