Wakuu ft. Wakadinali – Legit Lyrics
Check out “Legit” lyrics by Wakuu featuring Wakadinali on Kelxfy.
Legit Lyrics
Kila kitu mi huwanga ninafanya legit
House na makicks na machic legit
Boyz tukishit yeah my gees on me
Kina Vikz wanabeep na mamix legit
Mix legit chic ni mthick
Wallet maboyz don’t jump on this
Kuna same- wanasay repeat
Hii shit ni swift na minapeat
Kila kitu mi huwanga ninafanya legit
House na makicks na machic legit
Boyz tukishit yeah my gees on me
Kina Vikz wanabeep na mamix legit
Mix legit chic ni mthick
Wallet maboyz don’t jump on this
Kuna same- wanasay repeat
Hii shit ni swift na minapeat
Zako ni maembe cheki mi huwa na ki riftle
Utaniona tu kwa site, huezi nipata kwa rental
Ngoma ni manyake niko na all sizes
Na punch nabite mi ni rebel
Ukikam na wasafi buda chunga mi ni taabu
Mi huwanga sifumble mi huchachisha kama J.Cole
Sipendagi mascandal kama ni vita ni wrestle
Guess what, siezi hata, mi huwanga na hempshot
Headshot vile napiga mistari hu-take off
Mental nachizi na mistari inaenda detox
Why force? Tenje ni ngapi na ni mteja
By four lazima nitaichapa na ni leisure
Ka izo ndo mi huwa nataka ju ni pesa
Ichoo, tulicheza cheza tukichemba
Richo inapandisha motisha tukienda
Aaah, I’m searching cologne
While I’m searching for doh
Mdomo yangu inanuka
Lakini stori zinadonjo
Ndo ukuwe physically fit
Ni upige tizi hizi teams tutatii
Jiulize mbona, huyo dem ana mwili poa
Na hajaienda gym?
Ka hudai hizo mambo kata keki
Ulinicut-off ukapata ni mistake-i
Ni kama uligundua nakuwanga mtu feki
Hio ni giz, hio si gift, hizo ni gifs
Mi ndio daktari aah
Sindano zikiisha nakudunga kisu
Devil alipanic nilishindwa
Kuangushwa na mapepo kanisani
Vile moko alikuwa ananiganda
Ungedhani attempted murder wah, alaa
Wahurumie, wahurumie, wahurumie
Kila kitu mi huwanga ninafanya legit
House na makicks na machic legit
Boyz tukishit yeah my gees on me
Kina Vikz wanabeep na mamix legit
Mix legit chic ni mthick
Wallet maboyz don’t jump on this
Kuna same- wanasay repeat
Hii shit ni swift na minapeat
Kila kitu mi huwanga ninafanya legit
House na makicks na machic legit
Boyz tukishit yeah my gees on me
Kina Vikz wanabeep na mamix legit
Mix legit chic ni mthick
Wallet maboyz don’t jump on this
Kuna same- wanasay repeat
Hii shit ni swift na minapeat
Najenga mamita
Ndo siku moja nikidedi niwachie akimu
Niliwaambia mi pedi
Na after kucharge wote wakaguess niko steamu
Nilijenga ka soo sita
Apo tu 42 grao nikiuzanga weed
Na mission yangu nikianzaga hii shughuli
Ilikuwanga tu manze kusakanya dish
Nilichoka na mashow
Siku hizi napiga madeal
Ka naitaka naitaka naitisha sai
Wanajichocha na hawawezi wakazoea side hii
Na sinanga control over machics legit
Alinikalia makalio size hii
Akaniambia niko serious naitaka sai
Akanifanyia submission za IG
Nikamwambia we lazima ubariki my crib
Mi nang’ang’ania suluhisho sahii
Vile ninaweza kanya ndo kiburi i-increase
Siwezi katishwa na vitisho
Za hizi vinyangarika zinazozwa na mzozo YT
Nilifunzwa kupenya kwa sys
Kila siku naangalia vile nitafika kesho
Na thoughts zangu zote huwa legit
Maisha yangu unaeza sema inawapa lessons
Ata total — to it siwezi kuwa alidefeat
Haezi akanipea tension
Siwezi pop hio stori ya deceit
Ju najua nikibonga nita-take your attention
Nishadishi sitaki starter
Nilishikisha mchana sitaki supper
Mi na bro ni machizi sana
Pass dem hoes like tikitaka
Nda wapona siezi suffer
Ka ki-usoldier ka ki-spartan
Kuja na sword, kuja na pah pah
Rap inaboo na imekosa purpose
Huyo fala ni cheap ass
I wish angemadwa akiwa foetus
Ushaijiingiza ngori noma sana
Ukaita Allah na Jesus
Hizi ngoma ni choma nimepitia
Zingine ni miujiza
Next year ni keja mpya
Na inakuja with a new diva
Hii ni shit hauwezi osha na vim
Benylin inafanya na lean
Benefits za kuzoza na mi
Belle big ananiita daddy
Babe me I’m the one that you need
Atleast mi najua nina bibi watano
We msichana mi siwezi kufeed for free
Baadaye utanipatia nyamoo
Kila kitu mi huwanga ninafanya legit
House na makicks na machic legit
Boyz tukishit yeah my gees on me
Kina Vikz wanabeep na mamix legit
Mix legit chic ni mthick
Wallet maboyz don’t jump on this
Kuna same- wanasay repeat
Hii shit ni swift na minapeat
Kila kitu mi huwanga ninafanya legit
House na makicks na machic legit
Boyz tukishit yeah my gees on me
Kina Vikz wanabeep na mamix legit
Mix legit chic ni mthick
Wallet maboyz don’t jump on this
Kuna same- wanasay repeat
Hii shit ni swift na minapeat
Nimejihami toka next tit
Si unajua mi narep East
Umeamini your pengting
Ushaimuuliza juu ya bestie
Most time sijaribigi sana
Miguu hu-shake before take three
Mama wa kwako kwa Bentley
Na amekuacha utake-care of the kids
Society iko bent-knee
Mnajua na mnaipeleka dentist
Style zangu hazinaga wengi
Don’t mind me I’m just stating
Chairman siku hizi hadai kuketi
Kete ishaja mfanya asote
Nego retention, zero level
Babe wake akamwone impotent
Walibuy refa, walituchenga
Na bado tulienda na kikombe
Goods kwa store zimekula cobweb
Zangu zinaenda na kobole
Ooh sorry, wacha stori
Unaona watu hapa wako makombe
Wameenda kutafta dawa India
Wale watoto wa kibombe
Biz poa unatoa deposit
Ukinisinya natoa kikohozi
Mi ndo Mukombozi
Nimetumwa kututumwa mukhohozi
(Hahaha yaani nimetumwa)