Sewersydaa – Mbwenya Lyrics | Mauru Unit
Check out “Mbwenya” lyrics by Sewersydaa on Kelxfy. “Mbwenya” is off Sewersydaa’s new album, “Mauru Unit”.
Mbwenya Lyrics
Zilishika akazima tukadhani amegenya
Mbleina, kumbe amerenga
Mbleina, kumbe amerenga
Mbleina, kumbe ame…
Ziliwika tukakacha tukawacha wakisema
Ndeng’a, wauzificha kwa mbwenya
Ndeng’a, wauzificha kwa mbwenya
Ndeng’a, wauzificha kwa…
White si huficha hatuongenangi na tenant
Hot dry neck hatuvaangi ma-pendant
Show ni watu walikuja kuniona si Rema
Renderiwa useless naskia ati uliuza pena
Uko jela juu uko jealous na plus we ni sell-out
Once you’re …lakini we ni jailbird
From beggar to Maybach
Ki-Hushpuppi in laymans
Laidback huezi jua nimedoz na kiRayban
Fraud za karatasi delete ilikuwa whitewash
Beef tunaimalisa clean Kiamaiko
Hatuflow kwa karatasi tunatumianga iPhone
Zip kaa hutrust yenye umeona na maitho
We uliona nini, unajionanga Whit Snow
Unasema ule mwizi mtall ndio alijicock
Police kwa stop akampata akipop
O.D on coke akanose bleed kwa nose
Zilishika akazima tukadhani amegenya
Mbleina, kumbe amerenga
Mbleina, kumbe amerenga
Mbleina, kumbe ame—
Ziliwika tukakacha tukawacha wakisema
Ndeng’a, wauzificha kwa mbwenya
Ndeng’a, wauzificha kwa mbwenya
Ndeng’a, wauzificha kwa—
Bado wako nyuma yangu kaa Aide de camp
Ivo ivo niliwashow wastick kuwa fans
Uli-zeni kiatu kaa Hart The Band
Vile nimetembea hii Kenya nikisearch for funds
Nas till at all nikastick to rap
Hasira ya Njoro ikamuambia peace ni gun
Casting on demand na ametoka tu remand
Akachukua piece kuingia round
Stop ya kwanza kwa Brown
Akasmoke kwanza kiLoud before acheki around
Kwa pori ana ki-pound anafaa ajaze amount
Ya bond yenye judgiko
Alimgongea and then he’s out
Hesabu zinagongana hakuna venye anaeza bounce
Time is of the essence, ni a-act asikae suspect
Witness ni ati alazwe kabla hajamuitia sanse
Hio sauti ni loudest bas kila mtu akache
Kumbe nyuma Probox, imejaa ma afande
Zilishika akazima tukadhani amegenya
Mbleina, kumbe amerenga
Mbleina, kumbe amerenga
Mbleina, kumbe ame..
Ziliwika tukakacha tukawacha wakisema
Ndeng’a, wauzificha kwa mbwenya
Ndeng’a, wauzificha kwa mbwenya
Ndeng’a, wauzificha kwa..