King Kaka ft Jovial – Chum Lyrics

Check out “Chum” lyrics by King Kaka featuring Jovial. “Chum” is slang used to mean “a kiss”.
Chum Lyrics
Yeah yeah, yeah yeah
Ukiipata yangu missed call
Basi jua nimekumiss
Ukinitaka na siko
Picha yangu waeza ikiss
Basi nieleze ulipo, nifike ata sai
Bado love ipo, you know we were mean’t to be
Nimezunguka kote sikumpata
Nikaona wewe ndo unayenifaaa
Tunavyoendana, kukukosa karaha (Raha)
Napokuwa nawe naiona furaha
Maradhi ya moyo na we ndo tiba
Tunavyoendana kukukosa karaha (Raha)
Pale ulipo, nami nipo
Mi na we pamoja hadi mwisho
Yale ya zama sio ya sasa
Ni ukurasa mpya
Si nikukiss, nikuchum?
Upande gani babe I’m coming soon
Furaha yangu tumerudiana
Kusema kweli nakupenda sana
Si nikukiss, nikuchum?
Upande gani babe I’m coming soon
Furaha yangu tumerudiana
Kusema kweli nakupenda sana
Uh, King Kaka alright
I swear mah, this distance is killing us
Si uwe Nandy wangu na mimi Billnass
Vile ushanikubali I swear mimi bass
Tosha tosha
Vile uchungu yangu umeipoza
Pigia mum mshow nakuposa
Na kosa sio kosa hadi kosa
Basi tosha, tosha tosha
Sai mi ni buda, nataka si tusettle
Tupange na mapadere kidogo pale petals
Watamani yetu ka Kasunje na Kapedo
Na ukiumia kidogo kwako mi ni dettol
Main mbona anakeep up na plan B
Hatuwezi wachana ka Waititu na Frankie
Usipotee njia hawa mafisi wakupate
Karibia kwangu kidogo unipige mate
Pale ulipo, nami nipo
Mi na we pamoja hadi mwisho
Yale ya zama sio ya sasa
Ni ukurasa mpya
Si nikukiss, nikuchum?
Upande gani babe I’m coming soon
Furaha yangu tumerudiana
Kusema kweli nakupenda sana
Si nikukiss, nikuchum?
Upande gani babe I’m coming soon
Furaha yangu tumerudiana
Kusema kweli nakupenda sana