Willy Paul Umeme Lyrics
Read Willy Paul new song “Umeme Lyrics” released on 13 January 2023. Umeme is the first song of Willy Paul to be released in 2023. Umeme is a Swahili word that means electricity in English
Umeme Lyrics
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme.
Kila napo kam kam baby we ni tam tam
Moyo wangu umefanya zam zam
Kama gari nanguruma vrum vrum
Na kwa mapenzi girl umenifanya bubu.
Ooh baby nononono…
I really love you and you already know
I really love you and you already know
I really love you and you already know
Uuh my love I was born to be with you uuh…
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Papararapapa
Papararapapa
Papararapapa
Ngozi yako iko soft soft
Mtoto we ni soap soap
Matatu yangu iko pararapirera
Iko ready kuku beba
In this life, the little things
That you do keep me going
In this life your prayers mama keep me going
Because of you, I’m nolonger bwana mkunaji
Sa mi ni bwana mpendaji mama
Swear staki ata Nandy
Kanifunza ukunaji mama
Mmmh mmmh…
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Papararapapa
Papararapapa
Papararapapa
Kila corner umeteka thitima
Nishazama kwa mapenzi ooh thitima
Kila corner umenibeba
Nishazama kwa mapenzi ooh thitima
(Ooooooooh)
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Papararapapa
Papararapapa
Papararapapa