Bien ft. Breeder Lw – Maandamano Lyrics
Check out “Maandamano” lyrics by Bien featuring Breeder LW on Kelxfy. “Maandamano” is a song that talks about the recent Gen Z protests in Nairobi. The song is written and performed by: Bien, Bensoul and Breeder LW, Produced by Hendrick Sam, Original composition by Balla Onivogui & Kante Manfila.
Maandamano Lyrics
Wanadhani asi bongolala
Ikikupita we bogolala
Na walosema jana haiwezi fika Leo
Tuko ground tunazoza
Ati jiji kumewaka sana
Na mabeast wanachafua rada
Na walosema jana haiwezi fika Leo
Tuko ground tunazoza
Waambie punda imechoka sana
Farasi bado haijapatikana
Ni ma-ndae wanagonya
Na mali wanaponda
Unakonda wananona
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Ah mi say
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Mapambano (Maandamano)
Eh maandamano (Maandamano)
Na mapambano (Maandamano)
Bado mapambano (Maandamano)
(Big Baba)
Independence sixty years
Tuliambiwa ni self-rule
Billions on billions
Tunaibiwa na the same crooks
Tunalipa madeni hizo ndo ma excuse
Hii ni generation Z
Hatuwezi make same moves
Occupy parliament, tuende maandamano
Tribeless, partiless hio ndo msimamo
They killing us kwa protests
Si bado tuna match on
RIP to our heroes washa candles
Haki iwe ngao na mlinzi
Nionyeshe politician mgani mwenye si mwizi
Sunday wako church pastor kuwabariki
Monday cheki news, another scandal iko kwa TV
Kuna shughli inatakanga mbogi
You must go tunaimba kwa maploti
Hujengi shule hakuna madawa kwa hosi
Tumejam usijifanye haujanotice
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Ah mi say
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Mapambano (Maandamano)
Eh maandamano (Maandamano)
Na mapambano (Maandamano)
Bado mapambano (Maandamano)