Jovie Jovv ft. Mauru Gwash – OCD Lyrics
Check out the “OCD” lyrics by Jovie Jovv featuring OCD Lyrics on Kelxfy. “OCD” is a track that represents the Kenyan vibe.
OCD Lyrics
Ma Op wanpatia OCD
Ndani ya ii booth ni HOT
Take a puff of THC
Nageuka GOD
Drip ni safi MOP
Wapoa wanani LOV
Nigga ni pussy analamba paka
Fala ni rezi analamba rasa
Msaliti ananitema na salasa
Msupa wako ni mabakish na unadhani ukona boma
Mdomo mingi wanapenda kunibonga
Motion yangu inasonga wanabonda
Buda rada kwani unatoka Bungoma
We ni fala nakushikanisha nakupona
Ngwati na mukoro wako inasonga
Mambaru niliwapoteza Ronga
Dakika mbili nishafika Ngara
Mi ni sheto venye kumewaka
Mpira ndechu pia imewaka
Keki yako uku tunakata
Luku safi chini ndula pamba
Mimi sija kuja apa kuwabamba
Kama si maganji io si mukada
Lita sita ya codede ndo nataka
Mambaru wakikuja tunang’ada
Tebu sare kuchill na sisi
Ama utaget a felony
Gwash na Jovv kwa ngoma
Sauce imebaki aangushe melody
Niko masteamzimeniingiza zone
Karibu niDM Elody
Mse alibonga mamafi online
Nilimtokea alipoteza memory
Huo si mimi KOT
Labdi niki BOT
Gwash alinipatia ally whoop
Bro amegeuka CP3
Nka amegeuka scooby doo
You know that’s my dog for real
I’m a go to war for him
Jua ukitucross unaRIP
