Nakuja Lyrics – Tommy Flavour ft Marioo
Check out “Nakuja” lyrics by Tommy Flavour featuring Marioo. “Nakuja” is a Swahili word that means I am coming. The song has gone viral on Tiktok in 2023.
Nakuja Lyrics
Eeh, mmmh, Bad!
Mmmh, oyee (Sounds by Abbah)
Shiii…
Nakuja! Baby nakuja
Allow me baby nakuja
Nakuja! Baby nakuja
Allow me allow me, baby nakuja
Kama ajali mie
Kwako nyanganyanga
Uhodari utafanya nilie
Wakininyanganya
Nakuja! Baby nakuja
Allow me baby nakuja
Nakuja! Baby nakuja
Allow me allow me, baby nakuja
Nikamate nikamate
Nikamatie nikamatie usinibwage
Baby let me be romantic
Hatujali, we dont mind dem
Mmmh navuta picha ulivyo teacher
Mambo jorojoro
Mama bonita, wewe urembo mwororo
Nakuja! Baby nakuja
Allow me baby nakuja
Nakuja! Baby nakuja
Allow me allow me, baby nakuja
Kama ajali mie
Kwako nyanganyanga
Uhodari utafanya nilie
Wakininyanganya
Nakuja! Baby nakuja
Allow me baby nakuja
Nakuja! Baby nakuja
Allow me allow me, baby nakuja
Ooh baby njoo njoo njoo kulosa
Ooh baby come come come kulosa
Kwani umeubwa kwa udongo ama
Umefinyangwa kama dongo
Baby kwani umenipiga zongo ala
Uuuh uuh…
Nakuja! Baby nakuja
Allow me baby nakuja
Nakuja! Baby nakuja
Allow me allow me, baby nakuja
Kama ajali mie
Kwako nyanganyanga
Uhodari utafanya nilie
Wakininyanganya