Nandy – Raha Lyrics, English Translation & Meaning

Kelxfy presents you the translated version of “Raha” lyrics by Nandy. “Raha” is a sweet love song with lovely lyrics about the feeling of being loved. “Raha” is a Swahili word that means pleasure.
Raha Lyrics
(Kimamba on the beats)
Nawaza, ingekuwaje
Kama ningekukosa (Nawaza)
Ina maana, hizi raha zote
Ningezikosa (Nawaza)
Penzi limenikolea
Kama mtoto nashindwa tembea
Raha zimenibobea
Kwa mama nitakusemea
Si wanasemaga penzi bonde na milima
Nipeleke
Unachonipaga usidiriki kuninyima
Mi nideke
Penzi limetaradadi
Oya Halima, acha nicheke
Nilale ama mi
Nisisimame wima
Unanipa raha! Nazidi kuwa mdogo mi sikuwi
Unanipa raha! Nifanye kitafunwa unile
Unanipa raha! Zidi kunifundisha sivijui
Unanipa raha! Nianze kukulisha ndo nile
(Oooh Ooooh…. oh ooh oooh)
Hadi kucha zinaisha
Nikikuona nazing’ata
Unavyonizubaisha
Mi napagawa, ooh yani tu
Ýuache yote tisa
Kumi nakupa limbwata
Unavyoniburudisha
Mi napagawa
Nakupenda unanipenda, mpaka raha
Nikikuona tu nashiba sina njaa
Hili penzi limejawa na furaha
Wakikuiba natoa mtu kafara
Si wanasemaga penzi bonde na milima
Nipeleke
Unachonipaga usidiriki kuninyima
Mi nideke
Penzi limetaradadi
Oya Halima, acha nicheke
Nilale ama mi
Nisisimame wima
Unanipa raha! Nazidi kuwa mdogo mi sikuwi
Unanipa raha! Nifanye kitafunwa unile
Unanipa raha! Zidi kunifundisha sivijui
Unanipa raha! Nianze kukulisha ndo nile
(Oooh Ooooh…. oh ooh oooh)
Raha Lyrics Translation
(Kimamba on the beats)
Nawaza, ingekuwaje (I’m thinking what it would be like)
Kama ningekukosa (Nawaza) (If I wouldn’t be with you)
Ina maana, hizi raha zote (It means, all these pleasures)
Ningezikosa (Nawaza) (I’d miss them (I think))
Penzi limenikolea (Love has saved me)
Kama mtoto nashindwa tembea (As a child I can’t walk)
Raha zimenibobea (Pleasures are my specialty)
Kwa mama nitakusemea (I will tell my mother about you)
Si wanasemaga penzi bonde na milima (They say love is valleys and mountains)
Nipeleke (Take me away)
Unachonipaga usidiriki kuninyima (What you give me, do not deny me)
Mi nideke (I become happy)
Penzi limetaradadi (Love has increased)
Oya Halima, acha nicheke (Halima, let me laugh)
Nilale ama mi (Should I sleep or not?)
Nisisimame wima (Or even stand up tall)
Unanipa raha! (You give me pleasure!)
Nazidi kuwa mdogo mi sikuwi (I am getting younger, I am not growing)
Unanipa raha! (You give me pleasure!)
Nifanye kitafunwa unile (Make me a snack and eat it)
Unanipa raha! (You give me pleasure!)
Zidi kunifundisha sivijui (Teach me more, I don’t know)
Unanipa raha! (You give me pleasure!)
Nianze kukulisha ndo nile (Let me start feeding you, before I eat)
(Oooh Ooooh…. oh ooh oooh)
Hadi kuacha zinaisha (My nails are getting finished)
Nikikuona nazing’ata (If I see you, I bite them)
Unavyonizubaisha (How you make me dumb)
Mi napagawa, ooh yani tu (I’m going crazy, just see)
Yuache yote tisa (Leave it at nine)
Kumi nakupa limbwata (Ten I give you everything)
Unavyoniburudisha (How you entertain me)
Mi napagawa (I’m going crazy)
Nakupenda unanipenda, mpaka raha (I love you, you love me, until pleasure)
Nikikuona tu nashiba sina njaa (Just seeing you makes me full, I’m not hungry)
Hili penzi limejawa na furaha (This love is filled with happiness)
Wakikuiba natoa mtu kafara (If they steal from you, I will sacrifice someone)
Si wanasemaga penzi bonde na milima (They say love is valleys and mountains)
Nipeleke (Take me away)
Unachonipaga usidiriki kuninyima (What you give me, do not deny me)
Mi nideke (I become happy)
Penzi limetaradadi (Love has increased)
Oya Halima, acha nicheke (Halima, let me laugh)
Nilale ama mi (Should I sleep or not?)
Nisisimame wima (Or even stand up tall)
Unanipa raha! (You give me pleasure!)
Nazidi kuwa mdogo mi sikuwi (I am getting younger, I am not growing)
Unanipa raha! (You give me pleasure!)
Nifanye kitafunwa unile (Make me a snack and eat it)
Unanipa raha! (You give me pleasure!)
Zidi kunifundisha sivijui (Teach me more, I don’t know)
Unanipa raha! (You give me pleasure!)
Nianze kukulisha ndo nile (Let me start feeding you, before I eat)
(Oooh Ooooh…. oh ooh oooh)
Nandy Raha Song Review & Meaning
In this song, Nandy pours out her heart and shows how deeply she is in love. The song is a clear indication of how Nandy is talented and her songwriting skills on another level. The melodies are catchy and keep you wanting to rewind the song when it plays. Just like her song “Ninogeshe”, “Raha” is going to be one of her best songs in 2023.
Check out more songs, and learn their lyrics and meanings on Kelxfy.