Diamond Platnumz – Achii Lyrics ft Koffi Olomide & Translation
Check out “Achii” lyrics by Diamond Platnumz featuring Koffi Olomide on Kelxfy. “Achii” is an African dance and party song. “Achii” is produced by Tanzanian producer Ayolizer, video shot and edited by Rolex.
Achii Lyrics
Double K (Mopao)
Chu chu chu chu chu
Achu achu achu achu…
Chu chu chu chu
(Ayolizer)
Eeh! Wanewa wanaingia (Le general Dangote)
Ooh! Mwenye mji wamevamia (Le grand Mopao)
Eeh! Wanewa wanaingia (Mama Dangote)
Ooh! Mwenye mji wamevamia
Utatubeba mgongoni?
Utatubeba mgongoni?
Utatubeba mgongoni?
Utatubeba mgongoni?
Utatu!
Ona mpaka leo oh majibu sipati
Yaani mpaka leo, nimebaki katikati (Didi Santos)
Rafiki rafiki, rafiki wa kweli ni nani?
Rafiki rafiki ni ndugu ama jirani
Unaye-party naye kwa starehe
Wakulia nawe msibani
Wa kukosa akuongeze
Ama yule wa nipe nami
Mwenzenu nimegoma
Rafiki yangu pesa (Rafiki yangu pesa)
Ricardo Momo!
Rafiki yangu pesa (Rafiki yangu pesa)
Don Fumbwe
Rafiki yangu pesa (Rafiki yangu pesa)
Asa achi achi (Achii)
Chibu dangote (Achii)
Jamaa achi achii (Achii)
Na Chidi Benzi (Achii)
Asa achi achi (Achii)
Chibu wa ghetto (Achii)
Kumbe ji ni ji (Achii)
Chipolopolo (Achii)
Asa twende achichichii
A chi chi chii
Achichichii a chi chi chii
(La prezident Mama Samia)
Ahichichii a chi chi chii
Achichichii (eeeh)
A chi chi
Atikitiki akiki
Atikitiki akiki
Aah! Atikitiki aah atiki
Aah atikitiki atiki
(Jijis mopao)
Doboro kii ah (Doboro kii)
Doboro kii
(Le prezida mafanchi bethon)
Doboro kii
Dance kitoko, dance bidena
Dance sukari (Tobila)
Dance makambo, dance bidena
Dance atombotombo
Zinda bangondo zinda (Zinda)
Zinda bangondo zinda (Zinda)
Uuu sepeta zinda (Zinda)
Uuu sepeta (Zinda)
Zinda bangondo zinda (Zinda)
Ooo bangondo zinda (Zinda)
Mama lia bangondo lia (Lia)
Lia bangondo lia (Lia)
Mama lia bangondo lia (Lia)
Lia bangondo lia (Lia)
Kiwangooo! (Kiwango babu)
Kiwangooo! (Kiwango babu)
(Prezidon Hussein Mwinyi)
Ooh niache nina moody leo
Nataka niparty nipatike
Niache nina furaha leo
Nataka ninywe niutwike
Niache nina moody leo
Nataka niparty nipatike
Niache nina furaha leo (Nelson Kisanga)
Nataka ninywe niutwike
Ooh niache nina moody leo
Nataka niparty nipatike (Babu tale)
Niache nina furaha leo
Nataka ninywe niutwike
Niache nina moody leo (Sisco Kipenge)
Nataka niparty nipatike
Niache nina furaha leo
Nataka ninywe niutwike
Waambie marafiki (Mtanibeba mgongoni)
Ooh mimi leo (Mtanibeba mgongoni)
Agha wanangu (Mtanibeba mgongoni)
Aii mimi hapa (Mtanibeba mgongoni)
Yaani mwenzenu (Mtanibeba mgongoni)
Nasema leo (Mtanibeba mgongoni)
Pusa pusa pusa (Pusa)
Pusa mama pusa (Diego olomide)
Pusa baby pusa (pusa)
Yaka (Yaka) yaka (Yaka)
Yakalata (yaka)
Yaka (Yaka)
Yaka…
Applause Mapao (Eeh!)
Applause Diamond (Aaah)
Raise Mapao (eeee!)
Raise Diamond (aeee!)
Yakamwa (Yaka) yaka (Yaka)
Yakalata (Yaka) yaka (Yaka)
Yaakusimbate (Yaka) yaka (Yaka)
Yakutalaka (Yaka)
Yaka (Yaka)
Ee mamera nyu papee (mieee)
Mama sethera (mieee)
Mera nde pa wii (wiii)
Mera ndi mayo (wiii)
Mera yo gavie (mieee)
Mera sepera (mieee)
Mama Labawii (wiii)
Mama Lobanko (bankooo)
Wisamo, mopao le-gra mopao
Tiffa dangote (aaah)
Didi stone aii
Achii Lyrics (English Translation)
Double K (Mopao)
Chu chu chu chu chu
Auch auch auch auch…
Chu chu chu chu
(oilizer)
Eh! New people are entering (Le general Dangote)
Oh! The owner of the town has invaded (Le grand Mopao)
Eh! New people are coming in (Mama Dangote)
Oh! The owner of the town has invaded
Will you carry us on your back?
Will you carry us on your back?
Will you carry us on your back?
Will you carry us on your back?
Trinity!
See until today oh I don’t get answers
That is, until today, I remain in the middle (Didi Santos)
A friend, a friend, who is a true friend?
A friend is a relative or neighbor
The one you party with comfortably
They cried with you in trouble
If you are missing, he will add you
As for the one you give me
My partner is on strike
My friend money (My friend money)
Ricardo Momo!
My friend money (My friend money)
Don Fumbwe
My friend money (My friend money)
Asa achi achi (Achii)
Chibu Dangote (Achii)
Relatives achi achii (Achii)
By Chidi Benzi (Achii)
Asa achi achi (Achii)
Chibu wa ghetto (Achii)
By the way ji is ji (Let go)
Chipolopolo (Achii)
Asa let’s go achichichii
A chi chi chii
Achichichii a chi chi chii
(President Mama Samia)
Ahichichii a chi chi chii
Achichichi (eeeh)
A chi chi
He’s shivering
He’s shivering
Aah! Atikitiki aah atiki
Aah is shaking and shaking
(Jijis mopao)
Doboro kii ah (Doboro kii)
Doboro kii
(Le prezida fanchi bethon)
Doboro kii
Dance kitoko, dance bidena
Sugar Dance (Tobila)
Dance makambo, dance bidena
Dance atombotombo
Zinda posters Zinda (Zinda)
Zinda posters Zinda (Zinda)
Uuu sepeta Zinda (Zinda)
Uuu sepeta (Zinda)
Zinda posters Zinda (Zinda)
Ooo posters Zinda (Zinda)
Mama cry banner cry (Cry)
Cry poster cry (Cry)
Mama cry banner cry (Cry)
Cry poster cry (Cry)
The level! (grandfather level)
The level! (grandfather level)
(President Hussein Mwinyi)
Ooh, I’m moody today
I want to have a party
Let me be happy today
I want to drink and be drunk
I’m moody today
I want to have a party
Let me be happy today (Nelson Kisanga)
I want to drink and be drunk
Ooh, I’m moody today
I want to party and be found (Babu tale)
Let me be happy today
I want to drink and be drunk
Let me be moody today (Sisco Kipenge)
I want to have a party
Let me be happy today
I want to drink and be drunk
Tell your friends (You’ll carry me on your back)
Ooh me today (You’ll carry me on your back)
Agha my sons (You will carry me on your back)
Aii me here (You will carry me on your back)
That is, your partner (You will carry me on your back)
I say today (You will carry me on your back)
Pusa pusa pusa (Pusa)
Pusa mama pusa (Diego Olomide)
Pusa baby pusa (pusa)
Yaka (Yaka) yaka (Yaka)
Yakalata (yaka)
Yaka (Yaka)
Burn…
Applause Scores (Eeh!)
Applause Diamond (Aaah)
Raise Profits (eeee!)
Raise Diamond (aeeee!)
Yakamwa (Yaka) yaka (Yaka)
Yakalata (Yaka) yaka (Yaka)
Yaakusimbate (Yaka) yaka (Yaka)
Yakutala (Yaka)
Yaka (Yaka)
Hey, you’re so cute (meeeee)
Mama sethera (mieee)
Mera nde pa wii (wiii)
Mera and mayo (wiii)
Mera yo gavie (meeee)
Mera sepera (meeee)
Mama Labawii (wiii)
Mama Lobanko (bankooo)
Wisamo, mopao le-gra mopao
Tiffa dangote (aaah)
Didi stone aii