Ibraah Feat. Billnass & Whozu – Tubariki Lyrics
Read “Tubariki” lyrics by Ibraah featuring Bilnass on Kelxfy. “Tubariki” is an amapiano thanks giving song produced by Tanzanian producer S2kizzy.
Tubariki Lyrics
Oya, zombie limetoroka mirembe
It’s Chingaa, wee (Waa waaa)
(It’s S2kizzy beiby)
Wanangu wa Guchi Guchi
Muda wa kufanya matusi
Mjini sehemu ya hatari
Noma club maana watoto
Wanashindana chupi
Pisi za Dar es Salama nuksi
Bila pesa hawakupi
Ukiwaona huku nyuma
Ni hatari na hapa kwa juu
Chuchu wamebusti
Oyaa, oyaa, oyaa wee
Dandia dandia, bambia bambia
Ngoma isambee, halijui lichambe
Dandia dandia, bambia bambia
Ngoma isambee, halijui lichambe
Mungu Baba, tubariki
Si ni watoto wako, tubariki
Leo tuna party, tubariki
Tuvushe siku tuone kesho, tubariki
Mungu Baba, tubariki
Si ni waja wako, tubariki
Leo tuna party eeh, tubariki
Tuvushe siku tuone kesho, tubariki
Kwa jina la Baba (Amen)
Na la mwana (Amen)
Na la roho mtakatifu (Amen)
Sie kwako madhaifu (Amen)
Baba Baba God, eeh
Yeze Yeze, Baba God
Pombe nakunywa, ila naamini upo
Mapenzi yakinisumbua, natafuta mchepuko
Pombe nakunywa, ila naamini upo
Mapenzi yakinisumbua, natafuta mchepuko
Tubariki, akina sisi
Tinavyofanya vingine hatupendi
Ila ndio tunadhiki
Tubariki, akina sisi
Tinavyofanya vingine hatupendi
Ila ndio tunadhiki
Mungu Baba, tubariki
Si ni watoto wako, tubariki
Leo tuna party, tubariki
Tuvushe siku tuone kesho, tubariki
Mungu Baba, tubariki
Si ni waja wako, tubariki
Leo tuna party eeh, tubariki
Tuvushe siku tuone kesho, tubariki
Kwa jina la Baba (Amen)
Na la mwana (Amen)
Na la roho mtakatifu (Amen)
Sie kwako madhaifu (Amen)
Mungu Baba naomba unilinde na umeme
Umeme, umeme
Maana nikifa sitozikwa na mapene
Mapene mapene
Palipo na shazi ndio hakika utanipata
Sichagui kiwanja iwe Masaki ama Tabata
Palipo na shazi ndio hakika utanipata
Sichagui kiwanja iwe Masaki ama Tabata
Wakichelewa wanajifanya watu wa system
Tukiwapiga ndio wanajifanyaga victim
Na tukitimba si unajuanga ni big team range, cruiser
Benz na mabig thing
Dandia dandia, bambia bambia
Ngoma isambee, halijui lichambe
Dandia dandia, bambia bambia
Ngoma isambee, halijui lichambe
Mungu Baba, tubariki
Si ni watoto wako, tubariki
Leo tuna party, tubariki
Tuvushe siku tuone kesho, tubariki
Mungu Baba, tubariki
Si ni waja wako, tubariki
Leo tuna party eeh, tubariki
Tuvushe siku tuone kesho, tubariki
Kwa jina la Baba (Amen)
Na la mwana (Amen)
Na la roho mtakatifu (Amen)
Sie kwako madhaifu (Amen)
Mungu Baba, tubariki
Si ni waja wako, tubariki
Leo tuna party eeh, tubariki
Tuvushe siku tuone kesho, tubariki
Mungu Baba, tubariki
Si ni waja wako, tubariki
Leo tuna party eeh, tubariki
Tuvushe siku tuone kesho, tubariki
Ama sukusukusuku-sukusa
Na watoto wamesusa, yee, sukusa
Oma sikusukusuku-sukusa
Na watoto wamesusa, yee, sukusa