Nyashinski – Fly Lyrics
Check out “Fly” lyrics by Nyashinski on Kelxfy. “Fly” is off Nyashinki’s EP titled “Good Old Days”.
Fly Lyrics
Bila raha kuna times za ku-remember
Na time ya ku-remember ndo utakuwa nayo pekee
Bila love hakuna mahali tunaenda
Show me love and never show anything else
Hizi moment nataka zi-last forever
Every moment tuko nayo jitolee
Ka ni real basi itakuwa hapo kila weather
Ntafurahia jua zaidi kaa jana kuli-rain
Rithisha moyo why
Usiulize why oh why oh why
Uko in the mix with the best enjoy
That’s all I want, enjoy
To feeling more alive
The reason why oh why oh why
Uko in the mix with the best
That’s all I want
Ona vile saa huwa ina-fly
Vile sawa ina-fly
Ona vile saa huwa ina-fly
Vile sawa ina-fly
Hata siamini (mini), vile ina-fly
Hata siamini (mini)
Macho nayo bado nishindwa kuona
Tuki-worry hakuna kitu tutachange
Bila love hakuna mahali tunaenda
Show me love I’ll never show anything else
Onja raha ujionyeshe unajipenda
Time unayo usikubali kui-waste
Real humaanisha niko hapo kila weather
Real humaanisha niko hapo kila day
So rithisha moyo why
Usiulize why oh why oh why
Uko in the mix with the best enjoy
That’s all I want, enjoy
To feeling more alive
The reason why oh why oh why
Uko in the mix with the best
That’s all I want
Ona vile saa huwa ina-fly
Vile sawa ina-fly
Ona vile saa huwa ina-fly
Vile sawa ina-fly
Hata siamini (mini), vile ina-fly
Hata siamini (mini)
Ona vile saa huwa ina-fly
Vile sawa ina-fly
Ona vile saa huwa ina-fly
Vile sawa ina-fly
Hata siamini (mini), vile ina-fly
Hata siamini (mini)