Stella Wangu Lyrics by Freshley Mwamburi
Read “Stella Wangu” lyrics by Freshley Mwamburi on Kelxfy. Stella Wangu is a song that tells the story of how Freshley Mwamburi’s love for his then-girlfriend Stella went south.
Stella Wangu Lyrics
Nilikua na mchumba wangu
Tulipendana kama chama choma
Alibahatika kwenda ng’ambo
Chuo kikuu kwenda kusoma
Miaka mitatu kule Japani
Kusomea udakitari, Stella wangu eeeh
Nilikua na mchumba wangu
Tulipendana kama chama choma
Alibahatika kwenda ngambo
Chuo kikuu kwenda kusoma
Miaka mitatu kule Japani
Kusomea udakitari, Stella wangu eeeh
(Ooh oooh ooh..)
Nilivyo mpenda Stella jamani
Kajitolea kwa roho moja
Nikauza shamba langu, sababu yake yeye
Nikauza gari langu, sababu yake yeye
Nikauza ng’ombe na mbuzi sababu yake yeye
Ili apate nauli yake
Na pesa nyngine za matumizi kule Japani
Ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano
Ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano
Mwaka elfu moja tisamia tisaini na mbili
Mwaka elfu moja tisamia tisaini na mbili
Ndiyo ilokua tarehe kamili ya Stella kurudi Kenya
Nilikwenda uwanja wa ndege kwenda kumlaki Stella
Nilikua na uncle Kilinda uwanja wa ndege
Nilikuwa na Engineer Njau Njoke na mkewe na watoto wake
Nilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wake
Nilikuwa na Pedesh Makamba–
Nilikuwa na Mwandagro Mganga–
Ghafla ndege lipotua uwanajani nliona vituko
Stella alishuka amebeba mtoto mikononi
Stella alishuka amebeba mtoto mikononi
Nyuma yake mchumba wake mfupi
Futi nne Mjaipani
Nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya
Nilitamani nilie Kikamba lakini sikijui
Ilibidii nilie Kijaluo
“Angatima ngo wauchoa”, Freshley
Nilitamani nilie Kihindi lakini si kijui
Nilitamani nilie Kihindi lakini si kijui
Ikanibidi nilie Kitaita
Lugha ya mama na baba
Ikanibidi nilie Kitaiata
“beke mwana niponyebanda, Freshley”
Iyooo, yoo, yoo, yoo
I love you Stella mami
Iyooo, yoo, yoo, yoo
I love you Stella mami
Come back, come back Stella
I still need you baby
Come back, come back Stella
I still need you baby
Come back, come back Stella
I still need you baby
Kama ni wewe, ungefanya nini?
Kama ni wewe, ungefanya nini?
Kama ni wewe, ungefanya nini?
Kama ni wewe, ungefanya nini