Toxic Lyrikali – Step Sana Lyrics

Check out the “Step Sana” lyrics by Toxic Lyrikali on Kelxfy. “Step Sana” is a song that reflects Toxic Lyrikali’s growth.
Step Sana Lyrics
Aliruka akituhepa
Fala alihang kwa fence
Chimney kuna mavitu
Zimekwama kwa chest
Cleanboy lazima nikue well dressed
Ka reso saa ya kutoka stenje
Napigania belt
Sa izo – mothafoka feds wako well fed
Ni kibare utakula ukizuba usipo ji defend
I’m cool na bado wanaingiza njeve
Absent sipelekei goshodo present
Lyrikali ill positive niko tested
East again tena iko represented
Uko maziwa ju uku bei ni ng’ombe
Non-limited atushai kama token
Mbona unang’oja njora ndo utoboke
Mafala ka nyinyi ndo mnaleta msako shoke
Step Sana
Mangumi ka nguo tuna vaana
Bishana!
Knock knock knockout mchana
Tulijuana ju ya kuvurugana
Step Sana
Mangumi ka nguo tuna vaana
Bishana! Knock knock knock kwa kitanda
Tulijuana ju ya kuvurugana
Ka soshi na piga luk
Ganji zinatoka kwa gram
Ndula pyam ndio angalau nisichome brand
New gun armed ki-helping hand
Kinena activate no disturb
Lawama marashi
Leta sura walai sihati
Nakanyaga na mbati
Alafu laana sipati
Zile ganji tulichai
Tulisaidia wazazi
Na pia tulirepent
Bado wakidigi wanastep sana
New era heavy weight na haribu balance
New Balance kwa luk niongeze ladha
Ukiniboo unaweza kula bamba
Step Sana
Mangumi ka nguo tuna vaana
Bishana! Knock knock knockout mchana
Tulijuana ju ya kuvurugana
Boy, boy..Step Sana
Mangumi ka nguo tunavaana
Bishana! Knock knock knockout mchana
Tulijuana ju ya kuvurugana
Kanyagia kanyagia step sana (Boy)
Mangumi ka nguo tuna vaana
Bishana! Knock knock knockout mchana
Tulijuana ju ya kuvurugana
Bana bigup kwa wale marezi wote
Wenye hatukuwa tunajuana
Lakini after tumecross tukajuana
Yeah man, yeah man
Step sana… step sana
Step sana…
One Comment