Ares66 – Kichele Lyrics ft. Domani Munga & Skillo
Check out “Kichele” lyrics by Are66 featuring Domani Munga and Skillo on Kelxfy. “Kichele” is a new sheng word discovered in 2024 and it means “Money”. In the song, the artists emphasizes on the need of receiving MPESA on time.
The song is produced by Big Beatz Afriq producer, Ares66.
Kichele Lyrics
(Bigbeats Afriq)
Nieke mbele! Na usichelewe!
Usitucheleweshee kichele!
Usitucheleweshee kichele!
Usitucheleweshee kichele!
Nieke mbele!
Usitucheleweshee kichele
Nichekeshee kichele!
Nichekeshee kichele!
Nieke mbele! Hapa ni!
Utuchekeshee kichele!
Utuchekeshee kichele!
Utuchekeshee kichele!
(Utuchekeshee kichele)
Kwa hii namba ya-
M-Pe-pe-pe-pe-pe-pe-pe-pe Pesa!
Ndo hii mbaya ya
072-ndo mbana nguyaz mchwape
Sigara na lighter tunafuliza rwabe
Digaga matawi ya juu napuliza sape
Nina dimanga za hali ya juu kuliko za mathe
Uko chini kwa chini si tuko chini ya mnazi
Ching na chingli steams zinapanda na ngazi
Leo jumapili mbili baridi baada ya kazi
Naingia keja niko ndii, nashangaza shangazi
Na usichanganye makazi
Bossi anapiganga kelele
Jikate makasi
Bado anachelewesha kichele
Nieke mbele! Na usichelewe!
Usitucheleweshee kichele!
Usitucheleweshee kichele!
Usitucheleweshee kichele!
Nieke mbele!
Usitucheleweshee kichele
Nichekeshee kichele!
Nichekeshee kichele!
Nieke mbele! Hapa ni!
Utuchekeshee kichele!
Utuchekeshee kichele!
Utuchekeshee kichele!
(Utuchekeshee kichele)
[Skillo]
I’m the wrong guy sina shauri za moyo
Talking Lavington bado hupati doh
I want peace usiniite darling
Thanks for the loving mi napenda ganji
Tuma kwa hii namba nimekupia nayo
Doh yangu ya biashara usiwaringie nayo
Ka daila tunasele na mastingo zitatrend
Rende hainanga mbwembwe za kiceleb
Nieke mbele! Na usichelewe!
Usitucheleweshee kichele!
Usitucheleweshee kichele!
Usitucheleweshee kichele!
Nieke mbele!
Usitucheleweshee kichele
Nichekeshee kichele!
Nichekeshee kichele!
Nieke mbele! Hapa ni!
Utuchekeshee kichele!
Utuchekeshee kichele!
Utuchekeshee kichele!
(Utuchekeshee kichele)
Ndo hii namba ya-
M-Pe-pe-pe-pe-pe-pe-pe-pe Pesa!
Ndo hii namba ya-
M-Pe-pe-pe-pe-pe-pe-pe-pe Pesa!
Bye bye!
Acha kaende twende nayo bas
A time back still a shy, namjua ata-embark
Si mi hukushow, ju karao huniperemba Emba
Si kwa kwenda
Magithaa za kuhustle mi ndo sikwenda
Tulishikwa na dem yangu
Chali yake akatubaila
Anapenda cheda
Ka ile gender ya kichele ndo agenda
Area ka bacteria, diphtheria
Msupa niliangua mi mkenya ni Ukrainian
Msupa niliangua mi mkenya ni Ukrainian
Nieke mbele! Na usichelewe!
Usitucheleweshee kichele!
Usitucheleweshee kichele!
Usitucheleweshee kichele!
Nieke mbele!
Usitucheleweshee kichele
Nichekeshee kichele!
Nichekeshee kichele!
Nieke mbele! Hapa ni!
Utuchekeshee kichele!
Utuchekeshee kichele!
Utuchekeshee kichele!
(Utuchekeshee kichele)
Dosh! Mi say dosh, mi say dosh
Mi say Domani
Bila MPESA hapa utapenda
(Ah, wahyu say so, come back again selekta)
Mi say dosh, mi say dosh
Mi say dosh
Mr. Do-o-mani….
Bila MPESA hapa utapenda
The Meaning of Kichele
Kichele is another sheng word that means money here in Kenya. The sheng word originated from Ares66, Domani Munga and Skillo who have made the word to go viral after releasing the song “Kichele”. Other sheng words that means money include; Mukuchu, ganji and maziwa.