Ssaru ft. Domani Munga & Khaligraph Jones – Spy App Lyrics

Read and listen to “Spy App” lyrics by Ssaru, Domani Munga and Khaligraph Jones on Kelxfy. “Spy App” is off Genge EP by SSaru released on 6 December 2024.
Spy App Lyrics
Badness, line hapangingi line
Mwenye kisima hapangingi line, hapangingi line
Mwenye kisima hapangingi line, hapangingi line
Vic, twende
Hapa itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata
Natafuta app, ya kujua Whatsapp
We’ chakura IG maliza ingia WhatsApp
Nategea githaa zako, zile za kupiga nap
Nachokora hizo app, zitanipata hadi kwa map
Cheki niko app to spy on your partner
Up to the sky, kuna drone inakufuata na—
Hapa kwa hapa naona mahaga we unataka
Ndogo ndogo, bigi bigi, doshi unavuka mipaka
Lazima nidigi juu niko na bigi
Waambie wasupa wako ukija jiji mi ndo bibi
Naidigi, naidigi, naidigida kwa wingi
Na nikidigi nduru haitoshi
Hapa unapiga hadi firimbi
Hapa itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata
[Domani Munga]
Ninachanga kuchanganya
Ma bale na chang’aa juu ya balenciaga
Chang’aa kwa canter, Kirigiti to Kirinyaga
Aaah, aah, oouu aaah, mi ni chali wa hookups
Nina madem Kilimani to B Center Mr. Munga
Njaro deadly ngori since mazza was younger
Hadi line ya VCT nakuitisha number
Hakuna cha credit ukiniscratch ntakubamba
Naskia mbinguni tunapata mwili mpya, kwa baba
Jolene, Jolene, Jolene, Joleeene
Nakuwanga handsome nikitaka
Jolene, Jolene, Jolene, Joleeene
Spy app ntakushika, ntakushika
Hapa itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata
[Khaligraph Jones]
Wewe, funika cleavage sitaki nilete zogo
Good features zitajichora ndani ya rinda
Nilienda Tz kujitafutia goshodo
Nairobi peng’s ni mali but wanaringa
Kwa hii city saa hii ni risky kutesa
Ndo upewe mbana unatoa za whisky na chaser
Soon as dem amekuwa tipsy ni refa
Na-Rash-foward like she took a trip to UEFA
Soccer mums get the D then ni peace sign
Staki spy ananispy kama suspect
Interest muhimu so ikidecline
Then definitely i’mma treat you like my last ex
Jibu zero, no response kwa daro
Uliza pius ju mi huiroll na maDon Kamaru
Who’s the hero, block mambaru
Ndio nimebring Yujiro, of course na Ssaru
CCTV inapigia Khali surveillance
Spy ndo reason shawty hakosangi ma Rayban
Try asinitukane kwa jirani maneighbors
Pride isikufanye we’ ulale mteja
Hapa itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata