Ares66 ft Wakadinali – Team Kumalo Lyrics
Check out “Team Kumalo” lyrics by Ares66 featuring Wakadinali on Kelxfy. “Team Kumalo” is off Ares66’s new album, “Gangsta Points”.
Team Kumalo Lyrics
Pigwa mengo na crew ina tanaswa
Doch, Scar Aress nimekam na Sewer
Rende ni rong na bado inasumbua
Team badi malo
Team kumalo, kumalo
Team ni ya kumalo malo
Team ni ya kumalo malo
Team ni ya kumalo malo
Vigilant avatar arrow head
Airbender, am still a problem to avengers
Moving like a stunna power ranger
Njugu nikichana na mavela
Ndugu akiitana ni kuwabeba
Juu hizi si njaro za kitoto ni za kiteeni
Busy hizi streets mangoto mingi si ati nini
Team kuwamalo kuwamaliza kuwafini
Busy still maviboko mingi yaani beatings
Cheki Mchapes nakudingli
Mami huyo ni fresher hananga degree
Minimal pressure ka umetia bidii
Mwalimu wa math atumwe chaser ikibidi
Nakuzidi sai nikuji amini
Kama mpoa amedunga heels na mini
Team ni ya kumalo
Kumalo, na si ati nini
Ni RR wazing walale chini
Pigwa mengo na crew ina tanaswa
Scar Aress mimi nimekam na Sewer
Rende ni rong na bado inasumbua
Team badi malo
Team kumalo, kumalo
Team ni ya kumalo malo
Team ni ya kumalo malo
Team ni ya kumalo malo
Hii ni raw bado hata ijapitia doc
Ilishasink relationship before i dock
Toa lock toa doh akuna haja ya kuriftle
Scarecrow iki try ku-invade shamba yako
It’s a ganja party, who’s that naki whosegun
Uku adi chai utarushwa
Hauna bahati haufai kuzusha
Umbwa! Pull up next time uta chujwa
Yeah, for real
Yea pull up their sexy
Mih na akina Teddy
Scarde bado shekhe
Tabia zangu ipepe
Ndom zangu kete
Make it then we fake it de
Denge hawezi dunga tenje mpaka ifike safe days
Ah, naskia ananidai for real
Anadai yake iko free ati haiko bizz
Nisi waste time niende nika buy kondiko
Karibu nimpatie logbook na title deed
Pigwa mengo na crew ina tanaswa
Doch, Scar Aress nimekam na Sewer
Rende ni rong na bado inasumbua
Team badi malo
Team kumalo, kumalo
Team ni ya kumalo malo
Team ni ya kumalo malo
Team ni ya kumalo malo