Khaligraph Jones ft. Nyashinski – Risk Lyrics

Khaligraph Jones teams up with Nyashinski on “Risk” from his new album, The Book of Jones. Check out the lyrics on Kelxfy.
Risk Lyrics
Maybe maybe!
Wanataka kuishi hii maisha yenye na-live
Naa-fungua macho kuona kitu wanaona kwa dreams
Naa-niko hustle kila saa najua wanaona crib
Naa-niko nazo ukiona pori utashindwa kubreathe
Kitu inakushow usirisk
Kitu inakushow usirisk
Kitu inakushow usirisk
Usirisk, usirisk
Yeah! Mzae alinishow nikisoma
Nita-achieve kila kitu na wish (Kitu na wish)
Set my eyes on a Diploma
But later I had to call it quits (Wacha ikae)
Where there is a will, there is a way
But the Will that we knew of was Smith
Na reality check iki-slap
I was rocked outta stage kama Chris (haha)
You had it easy
Ukisota ulikuwa unaomba dad pesa
Mi nikiomba dad pesa
Alikuwa anapandwa na blood pressure
Maombi na fasting ni sheria
Ma-Thursdays matha alikuwa church kesha
Foundation ya mtoi wa Maria
Na mtiachi hakunanga cha love letters
Poverty si threat kwangu (Nop)
Honestly na dread scandals
I’m focusing, I can’t fumble (Never)
Geography na-set angles
So if you see what I see you will know why
Sijai kuwa friendly na nyinyi
Only loyal to the grind
I swear mi na mboka ni ka Pastor Mackenzie na dini
Maybach imesundwa kwa lot
Mark X inaskumwa na mboch
Neighbours wanaumwa na roho
Ju main-gate imefungwa na lock
There is no room for anybody
Who thought watavuna mahali wajapanda mbegu
And we expect more from you man up
Muache ku-behave ka kairetu
Maybe maybe!
Wanataka kuishi hii maisha yenye na-live
Naa-fungua macho kuona kitu wanaona kwa dreams
Naa-niko hustle kila saa najua wanaona crib
Naa-niko nazo ukiona pori utashindwa kubreathe
Kitu inakushow usirisk
Kitu inakushow usirisk
Kitu inakushow usirisk
Usirisk, usirisk
Nairobi tulikujia mang’ondo
Background ndo ikatuforce tujitume
Fall asleep at your own risk!
Kila saa nadoz off inabidi nijichune
Wake up before you piss off your bed
Coz that is the only dream
Iko na results instant
You only allowed to sleep at the age of 5
But after that, you no longer an infant
Bora tuliokotea Boondocks
Ondu pale Jevanjee na Boombox
Room 16 For The Culture
Then Span akinipeleka Kag’undo
Before the legacy I had a Legacy B4
The first whip that I purchased from big bro
Me and Franko tulikuwa ba Big Visions of Blu Ink
But we were never projected to get doh
Wanakuchoresha giza
Unamocholewa ki dagger, in a whisker
But mi nikifika scene
Hawawezi bonga ndo mabrother na whisper
Zako ni story za jaba na bitch stunts
Uchawi jo tunaimada na kismart
Transform to my final form
On a podium, chants ni za “Baba” in a distance
So who they call pit it in though (Baba)
Sheng Tezzo bado lingo (Baba)
Mafioso, Frakaz, I eff up this game
With a 9-inch mandingo
Mbari kwa mbokinyo za LV (Baba)
Chupa ina display ya LG
Trao Fabric equivalent to networth
Au salary inapatiwa ma MP (Baba)
Basquiat nikichora Wall of fame
Trust me I’m no baller though I’m paid
Last year mlichoma that was lame
Cashier mkiniona know I’m change
Ghasia anabonga what’s he saying
Nawakatsia mnanyongwa whats to gain
Mnanitaftia makosa it’s all in vain
I’m a craftier Mandong’a blows kwa brain
Mnahitaji CT scan
But you woun’t get a break until the beat is done
Niko kwa mansion though siezi ditch Eastlands
A loser ndio hudhania ku risk ni scam
Maybe maybe!
Wanataka kuishi hii maisha yenye na-live
Naa-fungua macho kuona kitu wanaona kwa dreams
Naa-niko hustle kila saa najua wanaona crib
Naa-niko nazo ukiona pori utashindwa kubreathe
Kitu inakushow usirisk
Kitu inakushow usirisk
Kitu inakushow usirisk
Usirisk, usirisk!
“Risk” | Song Review
In the song “Risk”, Khaligraph Jones opens up, telling his life story, featuring Nyashinki in the chorus. The song motivates the listener to keep going even after the hurdles. Khaligraph encourages us to keep going despite everyday struggles. I leave you with one of my favourite lines – “A loser ndio hudhania ku risk ni scam”.