Barnaba ft Rayvanny – Mzuri lyrics
Barnaba Classic teams up with Rayvanny to release their new single “Mzuri” off Love Sounds Different album released on 17 August 2022. Check out song lyrics below.
Oooh..aai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Oooh..aai mama unavyoringa sasa sio shida zako hizo
Oooh..aai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Oooh..aai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri Ata ukilia mzuri ni mzuri tu
Rangi ya chungwa mama chocolate viuno tanga manzabay
Lakipitlosi mama ona nywele (shombe shombe)
Zanzibari chei chei
Umejaliwa nyama na huo mguu Aki Mungu hakosei
Mpaka nikuoe ndo ntafanya usiwe na wasi mama wala mi sikuchezei
Najionea wivu kukupata my boo, tabibu dozi nipe taratibu
Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri Ata ukilia mzuri ni mzuri tu
Usuke sangitaa unapendeza hana haraka mtoto mwendo wa pweza
Yake mahaba ndio kaniweza kama chakula sahani ya pili naongeza
Walahi kwake naona nyota nyota tu si kwa mahaba unayonipa boo
Na huu wangu wivu utanikuta yasiyo niombeeni nipone
Ananivuruga pale anaponiuliza vipi uhakika mopao unajionaje
Namjibu niko sawa kisha namwambia nipigie video call
Najionea wivu kukupata we my boo, tabibu, dozi nipe taratibu
Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri ata ukilia mzuri ni mzuri tu
Ule kimini chuna tototo unafanya nishindwe kutoto
Umetakata uko sososo unawatesa cheki tototo
Mara uko nyonyo uko titi ata Saraphina anajua hushikiki
Eh! Serious nimempenda nasema na simuachi aaah!
Check out other lyrics here