Nandy ft. Harmonize – Usemi Sina Lyrics

Check out “Usemi Sina” lyrics by Nandy featuring Harmonize on Kelxfy.
Usemi Sina Lyrics
Konde Boy call me number one
Bomboclaaaaat!!!
Hutadanganya kusema wengine huwawazi
Ukweli ni kwambwa wanaume
Mmeumbwa vichwa wazi
Mpaka nakosa majibu
Hili penzi limechanganyishwa na wivu
Mama kanifunza utulivu
Ananisisitiza usikivu, baby
Sa kwa nini nisitulie
Mfano unaninyima nini
Uko radhi we uumie
Furaha niipate mimi
Usemi sina, sina
Cha kusema sina tena (Sina)
Usemi sina (Sina)
Usemi sina (Sina)
Usemi sina..sina
Usemi sina, usemi sina
Cha kusema sina
Mapenzi ni maua
Moyoni mwangu yanachangwa
Yalisha wai takaga kuniua
Usishangae najishaua
Nilipoteza hali ya kula
Ndo maana kila anachonipa nakula
Iwe papa ama chura
Nakula ndo kisa nakula
Na kwa nini nisitulie
Mfano unaninyima nini
Upo radhi niugulie
Utamu nipate mimi
Usemi sina, sina
Cha kusema sina tena (Sina)
Usemi sina (Sina)
Usemi sina (Sina)
Usemi sina..sina
Usemi sina, usemi sina
Cha kusema sina
It feels like I’m falling in love
For the first time
I never seen lobe like this before
Nakosa maneno
(Konde Music Worldwide)