Buruklyn Boyz – Stima Lyrics
Check out the “Stima” lyrics by Buruklyn Boyz on Kelxfy. Stima is a diss track fired back at Toxic Lyrikali after their ongoing beef.
Stima Lyrics
Tuko opp block na macandle kwa giza (Kwa giza)
MaG wamekula nare usiplay na stima
Watch usikanyage cable
Chunga usikanyage cable
Tuko opp block na macandle kwa giza (Kwa giza)
Leo kuna boy analala kwa freezer
Amebook appointment na devil
Book appointment na devil
Mi siogopi smoke mi siogopi NO
Ntakusmoke kama loud ya Canada
Hii ni Glock 19 na ni full clip
Mbleina andhani hii ni banana
Two glocks na zinafana
Zishazoea kubeba lawama
Ground nare watch kwenye unakanyaga
Nimeriet ukinitry umepagawa
Fly high fly high, bila bila mabawa
Na ka uko hai bado jua we’ ni walking dead
Ningekuwa we’unabeef na mimi ningejinyuria instead
Si-spread rumours ni ganji naspread
Success inani-affect
Namba uno simbatui ka we’ ni bad man
Ata sungura naishinda ujanja
Si lazima nikutrace
Kichwa yako naeka order, wakideliver naikata
[Chorus: Ajay]
Tuko opp block na macandle kwa giza (kwa giza)
MaG wamekula nare usiplay na stima
Watch usikanyage cable
Chunga usikanyage cable
Tuko opp block na macandle kwa giza
Na macandle kwa giza
Leo kuna boy analala kwa freezer
Amebook appointment na devil
Book appointment na devil
[Mr Right]
Unstoppable
Hauwezi nimark unmarkable
Game 90 El matador
Ni Noordin haujai juanga mi ni walalo
Moya David niko na Blue kwenye bungalow
Nabuy sprite unaeza pull up na (lean) Lin-et
Zimemshika ni kaa ako jing we!
Old is gold, nang’aa kama sling
Utadunge hapa huwezi fanya kitu na-do
Dancehall, Amapiano kitu yoyote na-do
Hizo kicks umevaa ni ma number two
Uliza namba Uno tunafwatanga mdundo
Chimbua chimbua malizwa na makumbo
We ndio Keeper kaa rada naachia
Ambia Mana, top player ameingia
Mi mtu mbaya naflow ka ghasia
Niko na knowledge ya kubaki on top
Business man nazimake mnazicopy
Mwakenya ndio hii hapa ukidai unaeza copy
Unaeza copy
Niko na knowledge ya kubaki on top
Business man nazimake mnazicopy
We ni mtoi wa kukam, kichwa chini cheza low-key
Kichwa chini cheza low-key
[Chorus: Ajay]
Tuko opp block na macandle kwa giza (kwa giza)
MaG wamekula nare usiplay na stima
Watch usikanyage cable
Chunga usikanyage cable
Tuko opp block na macandle kwa giza (kwa giza)
Leo kuna boy analala kwa freezer
Amebook appointment na devil
Book appointment na devil
[Verse 3: Ajay]
Mi ni Warri, warri, warri, warri
Warri, warri, warri, warri, warri, warri
Mi ni warrior
Wanaboronja sana tukipatana
Wanajifanya mamorio
Mi ni wa East na sikutambui morio
Take notes mi ni odijo
Mi ni wa East na sikutambui morio
Take notes mi ni odijo
[Mr Right]
Nastack doh hadi thirtyfour brick
Foundation imestunya hauwezi vunja hii brick wewe
Kichwa chini ni ma bicycle kick
Itabidi mmetap out hakuna cha pix
Cross uppercut, fala anaona dim dim
Ukidai smoke kuna ma fatty na ma slim slim
Official shirt nimepigilia na bling bling
Mi ni King pin unstoppable
[Ajay]
Unstoppable, stoppable, stoppable
Hatuskizi trap mboi zao zinabore
Niko hustle ninadai only more doh
Funga mdomo wewe mudu
[Mr Right]
Ati opp block niko patrol
Mafans wako chini wanashinda wameniitisha za macho
Sina kitu kula vako
Doh zingine ziko kwa trap phone, kata hiyo mwethe
Opp block niko patrol
Mafans wako chini
Wanashinda wameniitisha za macho
Sina kitu kula vako
Doh zingine ziko kwa trap phone
Kata hiyo tenje
[Chorus: Ajay]
Tuko opp block na macandle kwa giza (Kwa giza)
MaG wamekula nare usiplay na stima
Watch usikanyage cable
Chunga usikanyage cable
Tuko opp block na macandle kwa giza (kwa giza)
Leo kuna boy analala kwa freezer
Amebook appointment na devil
Book appointment na devil
Mi siogopi smoke mi siogopi NO
Ntakusmoke kama loud ya Canada
Hii ni Glock 19 na ni full clip
Mbleina andhani hii ni banana
Two glocks na zinafana
