Bensoul – War Lyrics

Check out “War” lyrics by Bensoul on Kelxfy.
War Lyrics
There are so many things
We need to pray for
So many dying who could live more
Sijui kama nitaona kesho
Hakuna mwizi kama kifo
Mother aafuta machozi na leso
Lord are you teaching us a lesson?
Yaani napigana na mapepo
Hizi ndo siku za mwisho
Ooh, kuna emergency
Mtaani kuna tradgedy
Form ni gani hawatujali
Ndio maana kuna war
Na kama tudedi
Mtatusoma kwa gazeti
Front page siio kwa orbituary
Ndio kwa maana kuna war
Hauwezi find peace in a war
Hatuwezi find peace in a war
If I die today, another will rise tomorrow
Karma never fails, soon atakufollow
Ata ukipita 40 days, uende holiday
Visit every place, soon you gonna pay
All the blood in your hands
All the lies that you tell
The sitting on the fence
And calling it defence
Secret intelligence, killing many innocent
Kuna emergency
Mtaani kuna tragedy
Form ni gani hakuna kazi
Ndio maana kuna war, kuna war
Na kabla tudedi
Mtatusoma kwa gazeti
Mtoto amezikwa na wazazi
Ndio maana kuna war
Kuna emergency
Mtaani kuna tragedy
Form ni gani hata hatulali
Ndio maana kuna war, kuna war
Kabla tudedi
Mtatusoma kwa gazeti
Mtoto akizikwa na wazazi
Ni lazima kuna war
But hauwezi find peace in a war
We are searching for peace in a war
In a war..