Enjoy Lyrics & Translation – Jux ft Diamond Platnumz
Tanzanian artist Jux has released a new song “Enjoy” featuring Diamond Platnumz. Check out Enjoy Lyrics on Kelxfy. “Enjoy” is a feel-good song and is currently trending on all digital platforms.
Enjoy Lyrics
(It’s S2kizzy beiby)
Hii leo,
Acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi
Nataka kuyaeleza
Na leo,
Tena waiteni paparazzi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi
Nataka jipongeza
Nae mwita yoh baby
Kumbe nae ana baby
Oooh unayemuona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi dunia
Nami stress siwezi
(Oooh siwezi)
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Ya nini niteseke roho?)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge nami wee)
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Yanini yanini?)
Jiunge nami upoze koo
Kama kupenda
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwa mimi
Nitajipenda peke yangu
Ooooh!
Kilichomponza ufala
Kujiona simba kumbe swara
Kazama kwenye penzi utwara
Badala ya kusaka miamala
Aiyooooo!
Toka nidate pesa (Enhee)
Sasa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma-homeboy (Enhee)
Ooooh akaunti inasoma (Enhee)
Na ka mwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona
Aiiii nasema bora
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Ya nini niteseke roho?)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge nami wee)
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Yanini yanini?)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi)
Napenda nikilewa
Nipande juu ya meza
Minjonjoko
Natema kingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za! Za! Za! Za!
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Yanini yanini?)
Jiunge nami upoze koo (Ooh ooh ooh ooh)
(Kamix Lizer)
Enjoy Lyrics English Translation
(It’s S2kizzy beiby)
Hii leo (Today)
Acha tu niwaweke wazi (Let me just make it clear)
Mubaki na mishangao (You stay with the surprises)
Kuhusu haya mapenzi (About this love)
Nataka kuyaeleza (I want to explain it to you)
Na leo (And today)
Tena waiteni paparazzi (Again, call the paparazzi)
Warushe kwa mitandao (Throw them on the internet)
Siyataki mapenzi (I don’t want love)
Nataka jipongeza (I want to thank myself)
Nae mwita yoh baby (And the one I call baby)
Kumbe nae ana baby (She also has a baby)
Oooh unayemuona kipenzi (The one she sees)
Ni mshenzi hakupendi (He is a fool, he does’t love you)
Ama kweli mtihani (It is indeed a test)
Mambo mengi dunia (There are many things in the world)
Nami stress siwezi (I can’t stress)
Oooh siwezi (Oooh I can’t)
Bora nienjoy! (I better enjoy it!)
Maisha mafupi ni simple (Short life it’s simple)
Ya nini niteseke roho? (Why should I suffer the soul?)
Jiunge nami upoze koo (Join me and cool your throat)
Bora nienjoy! (I better enjoy it!)
Maisha mafupi ni simple (Short life it’s simple)
Ya nini niteseke roho? (Why should I suffer the soul?)
Jiunge nami upoze koo (Join me and cool your throat)
Kama kupenda (Like to love)
Bora nimpende mama yangu (It’s better I love my mother)
Kama kupendwa mimi (If it’s to be loved)
Nitajipenda peke yangu (I will love myself)
Ooooh! Kilichomponza ufala (What cured him)
Kujiona simba kumbe swara (Seeing yourself as a lion while you are a gazelle)
Kazama kwenye penzi utwara (Immersed in love)
Badala ya kusaka miamala (Instead of searching for money)
Aiyooooo!
Toka nidate pesa (Since I started dating money)
Sasa napendeza (Now I look good)
Na tena naenjoy (And again I enjoy)
Na wanangu ma-homeboy (With my homeboys)
Ooooh akaunti inasoma (The account now reads)
Na ka mwili kananona (And I have a nice body)
We mwenyewe si unaona (You can see it yourself)
Aiiii nasema bora (I say better)
Bora nienjoy! (I better enjoy it!)
Maisha mafupi ni simple (Short life it’s simple)
Ya nini niteseke roho? (Why should I suffer the soul?)
Jiunge nami upoze koo (Join me and cool your throat)
Bora nienjoy! (I better enjoy it!)
Maisha mafupi ni simple (Short life it’s simple)
Ya nini niteseke roho? (Why should I suffer the soul?)
Jiunge nami upoze koo (Join me and cool your throat)
Napenda nikilewa (I like to get drunk)
Nipande juu ya meza (Get me on the table)
Minjonjoko (Crouching)
Natema kingereza (I speak English)
Tupande juu ya meza (Let’s get on the table)

Nice one