Barnaba Classic Only You Lyrics ft Jay Melody
Moyo pupa sijui kwanini undadunda sana
Oooh aibu macho yako ukinitazama
Ukitaka chips yai, asubuhi vitafunwa chai
I feel you mbaya, Ooh eti mbaya
Kama malaika ulivyoumbika mithili ya kinanda au gitaa
Nikupige mbaya, Ooh eti mbaya
Mmmmh siutani siutani mamaa
Kwenye hilo tope mi nishazama (nshazama mazima)
So usije kunichanganya, ntalia machozi
Nitakusemea kwa mama, kwangu ni wewe tu
Only you, Only you (ni wewe tu)
Only you, Only you (kwangu ni wewe tu)
Only you Only you Only you (Kwangu ni wewe tu)
Mtoto idara zote yuko fine fine
Umbo na sura she looks fine fine
Ananimudu kidume niko fine fine
Kwenye baridi we joto njoo nkupe peremende au jojo
Na kidume nishajaza ndoo tupunguze hata kikopo
Kukwacha siwezi we nazi mi mkwezi
Nimelewa mapenzi umeni overdozi (umeni overdoze)
Ndo nimepata kwinini, madaktari wengine wa nini
Amenitibu na maini ameniwini nimemuwini
Mmmmh siutani siutani mamaa
Kwenye hilo tope mi nishazama (nshazama mazima)
So usije kunichanganya mpenzi
Nitalia machozi ntakusemea kwa mama, maana ni wewe tu
Only you (forever you being all mine)
Only you (nikikosea usimind)
Only you Only you (forever you be ma mine)
We npepee dawa, usininyime mimi dawa
Forever be mine (dawa)
usininyime mimi (dawa) we kwangu dawa
Usininyime mimi dawa forever you be mine (dawa)
Usininyime mimi dawa, naaah