Zuchu Nani Lyrics
Tanzanian artist Zuchu has a new song titled “Nani”. Check out “Nani” lyrics on Kelxfy.
Nani Lyrics
(It’s S2kizzy beiby)
One two one two eh
Mic cheki (mic cheki)
Tunajump jump, eh kama kitenesi
Eeh! Kama kalambwanda nda nda kalambwasi
Na kama unamsambwandaa
Si uingie kati
Aluluwe, aluluwe (Aluluwe, aluluwe)
Ah, kama mtu hachezi mzabue (Tumzabue tumzabue)
Sema aluluwe, aluluwe
Aluluwe, aluluwe (Aluluwe, aluluwe)
Ha! Kama mtu hachezi tumtoe (Tumtoe tumtoe)
Eeh nani anaweza kulicheza
SagaRumba
Mimi ninaweza kulicheza
SagaRumba
Nauliza nani anaweza kulicheza
SagaRumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza
SagaRumba
Mafta taa, mafta taa, mafta taa
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika
Mpaka chini, mpaka chini, mpaka chini
Amina, Amina na Mwajuma
Wanaringa hawa kima
Kumbe wanauza…
Usiseme hivyo
Kilode kilode kilodee
Watoto wadogo wanataka nipotee
Ha! Labda nifukiwe chini wala wasiwaongopee
Ha! Shindo langu mimi mjikusanye wote
Haya sema shikamoo dada (Shikamoo dada)
Shikamoo kaka (Shikamoo kaka)
Mniamkie shikamoo mama (Shikamoo mama)
Shikamoo baba (Shikamoo baba)
Aluluwe, aluluwe (Aluluwe, aluluwe)
Ukiona hachezi mzabue (Tumzabue tumzabue)
Sema aluluwe, aluluwe
Aluluwe, aluluwe (Aluluwe, aluluwe)
Ha! Kama mtu hachezi tumtoe (Tumtoe tumtoe)
Eeh nani anaweza kulicheza
SagaRumba
Mimi ninaweza kulicheza
SagaRumba
Nauliza nani anaweza kulicheza
SagaRumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza
SagaRumba
Ah Twende!
Mafta taa, mafta taa, mafta taa
Ya nani?
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika
Eti mpaka wapi?
Mpaka chini, mpaka chini, mpaka chini
(Ka mix Lizer)