Ethic ft. Dyana Cods – Enemy is Poverty Lyrics
Check out “Enemy is Poverty” lyrics by Ethic Entertainment featuring Dyana Cods on Kelxfy.
Enemy is Poverty Lyrics
Yeah yeah yeah
Money machine, smile for me
Si wanajua pesa ndio anthem
Bado ni sisi tena above them
Money machine, smile for me
Si wanajua pesa ndio anthem
Bado ni sisi tena above them
Nadai ganji, nadai mariambezz
Keja ndai, nadai kusunda chavezz
Nitekee mdenge lakini sitaki marriage
Niko kwa ATM na withdraw money
Nadai marekaa, mi nadai chedaa
Sidai loving, mi nadai money
Sina bae sweety, mkate, honey
Sidai loving, mi nadai money
Money machine, smile for me
Si wanajua pesa ndio anthem
Bado ni sisi tena above them
Money machine, smile for me
Si wanajua pesa ndio anthem
Bado ni sisi tena above them
The enemy is poverty
The enemy is poverty
Si nitatesa nikishika mapesa
Nitalipisha venye niliteseka
Wazing wakinicheka, mapeng kunilenga
Sikua na mrenga nikistep kalesa
Nikiwai tu pesa, nitajipin ndeng’a
Rentiko ntasepa, ma ndaki ntajenga
Nikidai ku-save labda nimedi keja
Ju nikitoka njei lazima nispend bob
Na thy thy thy enemy is poverty
Na trace pa packe po popote
Money machine, smile for me
Si wanajua pesa ndio anthem
Bado ni sisi tena above them
Money machine, smile for me
Si wanajua pesa ndio anthem
Bado ni sisi tena above them
Ala ala ala ala ala aloo
Sabuni ya roho, si si unajua niko ma madoh
Ala ala ala ala ala aloo
Sabuni ya roho, si si unajua niko ma madoh
Design na move manze huwezi ukanislowisha
Nasijifanyi niko nayo najua sina
Usianzishe vita unajua huwezi maliza
Manze ni God a success siezi nikaficha
Wikendi nko jake na maisha joh ni private
Shukrani juu ya ma barley na stori mingi sitaki
Past tense na bana jo sidai shapre
Juu maisha sai ni shware na rada pia ni swafi
Personally mi udai
Personally, personally mi udai loving
Personally mi udai
Personally, personally mi udai loving
Personally mi udai
Personally, personally mi udai loving
Personally mi udai
Personally, personally mi udai loving
Money machine, smile for me
Si wanajua pesa ndio anthem
Bado ni sisi tena above them
Money machine, smile for me
Si wanajua pesa ndio anthem
Bado ni sisi tena above them
Ala ala ala ala ala aloo
Sabuni ya roho, si si unajua niko ma madoh
Ala ala ala ala ala aloo
Sabuni ya roho, si si unajua niko ma madoh
