Lil Maina – Ma G Kwenye Klabu Lyrics ft. Scar Mkadinali
Read “Ma G Kwenye Klabu” lyrics by Lil Maina featuring Scar Mkadinali on the Kelxfy blog. “Ma G Kwenye Klabu” is off Lil Maina’s debut album, “Maisha ya Stunna“.
Ma G Kwenye Klabu Lyrics
Ma, ma ma ma ma G
Ma G ah cheki ah ah
Skiza cheki…basi
Kapoa kazuri kanadai kunifumble-isha
Na mali yako wakikuja nabakishwa
Nataka kapoa ako na accent ya Lupita
Ati body ya Huddah, manze mwili jo ni ya Nikita
And time is money so usiache ukipitwa
Kuna mafala kwa hii baze wanachachisha
Nafuata nyuki nile asali nikigrind
But usipost waanze kusema manze jo unachoma picha
Nimesunda jaba njoti zimelipuka
Na manze venye kunaenda sioni ka zitashuka
Na ngoma zote zinazoza mpaka Ghapuka
Na huku venye anapeana manze utashtuka
Ju si ndo ma G kwenye Klabu
Na ka ni zogo unafunzwa na adabu
We itisha usifanye hadi hesabu
Aii ju si ndo ma G kwenye klabu
Ma G kwenye Klabu
Na ka ni zogo unafunzwa na adabu
We itisha usifanye hadi hesabu
Aii ju si ndo ma G kwenye klabu
MaG kwenye klabu
Ma G kwenye klabu kushtuka
Nimesunda jaba njoti zimelipuka
Na manze venye kunaenda sioni ka zitashuka
Na ngoma zote zimezoza mpaka Ghapuka
Niko kwa kona nazitoka skelewu
Na form ya leo ni faster faster impromptu
Aii na manzi yako ananipanulia mguu
Ingekuwa wewe manzi brathe ungedu?
So true
Nimesunda jaba njoti zimelipuka
Na manze venye kunaenda sioni ka zitashuka
Na ngoma zote zinazoza mpaka Ghapuka
Na huku venye anapeana manze utashtuka
Ju si ndo ma G kwenye Klabu
Na ka ni zogo unafunzwa na adabu
We itisha usifanye hadi hesabu
Aii ju si ndo ma G kwenye klabu
MaG kwenye klabu
Ma G kwenye Klabu
Na ka ni zogo unafunzwa na adabu
We itisha usifanye hadi hesabu
Aii ju si ndo ma G kwenye klabu
MaG kwenye klabu
Sisi ndo ma G kwenye klabu
Si ni wa expe utalipia photo
Msupa wa Nai haezi struggle
Kwani unaexpect? Ka ye ni goshodo
Nilikupatia biz ukaifumble
Unatafta Mr Riz ama Kovu
Unatembea na bad b hana adabu
Baby bonga na hio d siezi cuddle
Wanasiasa wanadanganya abandu
Umecheki ile taka taka imejaa Bangu
Iwe ngoso sheng ama kiarabu
Miondoko ikinice tunabanju
Nawasha ndom kwa Subaru ya mambaru
Nafeel home nikiwa jela na majambu
Naweka Chrome kwa chupa ya malibu
Nikisha perform anauliza Scar De alidu?
Ju si ndo ma G kwenye Klabu
Na ka ni zogo unafunzwa na adabu
We itisha usifanye hadi hesabu
Aii ju si ndo ma G kwenye klabu
MaG kwenye klabu
Ma G kwenye Klabu
Na ka ni zogo unafunzwa na adabu
We itisha usifanye hadi hesabu
Aii ju si ndo ma G kwenye klabu
MaG kwenye klabu