Iyanii ft Mejja – Maisha Lyrics
Check out “Maisha” lyrics by Iyanii featuring Mejja. “Maisha” is a song that addresses stress, depression, and daily life struggles.
Maisha Lyrics
Saa zingine life
Hutuweka kwa kona
Unadhani umefika mwisho
Juu ya stress na mahangaiko
Na saa zingine life
Hutubamba sana
No time for the badmind people
Wakadinali avoid those people
Ukiwa na stress, usijinyonge
Tafta mtu mkae chini mbonge
Lazima tutafinesse
Sisi si wanyonge
Leo mahangaiko
Lakini kesho mafanikio
Ah wote!
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
[Mejja]
Unaona nikiwaroga tu, nikiwashika tu
Nimeona mamangu, akiwa mgonjwa
Najua vile inafeel
Nimepoteza familia nimekuwa na depression
Najua vile inafeel
Am a testimony kama nimekuwa poa
Buda pia utaheal (Aaah)
Kitu muhimu ni peace of life
Kukapitia ni part of life
Nasend good energy your way
Bad energy stay far away
Hallo, smile kidogo
Punguza stress aiih
Hallo, smile kidogo
Smile, aiiih aai aai
Ah wote!
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
And you let them know
Don’t disturb my peace
Don’t disturb my hapiness
I live for the moment
Kila siku enjoyment
Do what makes you happy
You can’t please everybody
Usikubali stress
Ifanye ukuwe depressed
Ukiwa na stress, usijinyonge
Tafta mtu mkae chini mbonge
Lazima tutafinesse
Sisi si wanyonge
Leo mahangaiko
Lakini kesho mafanikio
Ah wote!
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita