YBW Smith ft Lufasa – Lele Lyrics
Check out “Lele” lyrics by YBW Smith featuring Lufasa. “Lele” has been trending on TikTok thanks to the Lele Challenge, which was started by Brixxy Natty (@brixxynatty). “Lele” is a sheng word that means lesbians in Kenya.
Lele Lyrics
Cheki denge alinipigia tenje
Akisema ye ni lele anakatia madenge
What a shame beshte yake alikuwa njege
Aliwekewa matembe akiwa na malele
Cheki denge alinipigia tenje
Akisema ye ni lele anakatia madenge
What a shame beshte yake alikuwa njege
Aliwekewa matembe akiwa na malele
Nacheki nikileft right manguna wamejibeba
Aluta hadi kesho naweza kosa kuteka
Usiworry na bill we itisha utapewa
Aliingia mechi ngware ati best ni mapema
Nimepiga luku diriba nacheki niko fiti
Na kwa pori nikidigi mangwai kama fifty
Alisema anakaa poa na mi sina hadi kiti
Mbogi ni ya magwash, mbogi ni ya magwiji
Cheki denge alinipigia tenje
Akisema ye ni lele anakatia madenge
What a shame beshte yake alikuwa njege
Aliwekewa matembe akiwa na malele
Cheki denge alinipigia tenje
Akisema ye ni lele anakatia madenge
What a shame beshte yake alikuwa njege
Aliwekewa matembe akiwa na malele
Kila siku niko madoh
Nikipiga show ya kwanza nakula kapa soo
Nikipiga show ya pili nakula kapa mia mbili
Show ya tatu nalipwa na mamili
Kati yetu hakuna rapper ananiweza
Hata ukuje na mwakenya
Collabo mi sitaki mi natoa doba genje
Na kama hujakubali buda we jua ni kende
Nilikushow real hata huwezi songa mbele
No wonder hizo lyrics hazinanga hata meaning
Rudi daro brush tuff ndo unitishe
Lyrics, barz ikue na masters
Bro niko hunting na mafia
Utatiki niite gwiji
Tunacheza na matiti kila wiki
Huwezi feel fiti ju ngeus ako busy
Kwela juu ya maji alirukwa mara fifty
Na riba kama sio ya maganji mi sitaki
Sidai ku-impress mi nataka for the best
Leo tuko gwethe ka daila ni mawembe
Kenya haiendi mbele malele na mabeste
Tangu Marish, Jeri hadi Salem
Sura mpya ghetto unabaki kuwa target
Mistari kali ya madead nikuhande
Utakula kibare ukidhani ni afande
Nipate Buruburu nikizoza na magaldem
Lazima nipate ganji ndio mamake apate
Lakini kuzidisha nilibaki kuwa wanted
Niko blacklist na mabanga huni-target
Cheki denge alinipigia tenje
Akisema ye ni lele anakatia madenge
What a shame beshte yake alikuwa njege
Aliwekewa matembe akiwa na malele
Cheki denge alinipigia tenje
Akisema ye ni lele anakatia madenge
What a shame beshte yake alikuwa njege
Aliwekewa matembe akiwa na malele
Also read: YBW Smith – Madawa Lyrics
2 Comments