Boutross – Miss Behaviour Lyrics ft Savara & Fathermoh
Check out “Miss Behaviour” lyrics by Boutross featuring Savara and Fathermoh. “Miss Behaviour” is a song that talks about a cute girl who loves to party.
Miss Behaviour Lyrics
Closer, no distance
You like me, your Mr
Whine it, calypso
Me like it, so Tiktok
Pombe inanibam, bam bam bam bam
Bam bam bamba…
Jaba na kashata
Miss behave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini ye ni
Dan dan dan …. danda
Jaba na kashata
Miss behave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini ye ni
I told my wife wacha ni miss behave
Vile hio makali inani instigate
We unadai bank na mi si CBK
I broke your heart and I’ll do it again
So I went on a date with this big mama
Old is pleasure, I had to discover
Boy flani ako ey, najua huu madam
Is he being jealous, or am I being stubborn?
Pombe inanibam, bam bam bam bam
Bam bam bamba…
Jaba na kashata
Miss behave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini ye ni
Dan dan dan …. danda
Jaba na kashata
Miss behave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini ye ni
Kausunda kauzimia kwa club ni mjinga
Ashai osha TV, radio na woofer
Jamani walai mi namchuja, mi namchuja
Nishaimpata kwa todi nikamkuta
Nikampeleka kejani nikaisunda
Nikamtolea bakora kimjuda
Ni makelele, kelele ka mbuda
Pombe inanibam, bam bam bam bam
Bam bam bamba…
Jaba na kashata
Miss behave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini ye ni
Dan dan dan …. danda
Jaba na kashata
Miss behave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini ye ni
Dem ni mrembo lakini
Don’t do me like that, don’t miss behave
Come closer I got the juice
Cause you been running running running
Niko gauge, niko maji
Nikiwa maji nakuwanga mtiaji
Viatu zangu usikanyage ni safi
Niko madre natingisha manati
Pombe inanibam, bam bam bam bam
Bam bam bamba…
Jaba na kashata
Miss behave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini ye ni
Dan dan dan …. danda
Jaba na kashata
Miss behave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini ye ni