Sumu Lyrics – Alikiba ft. Marioo
Kings Music artist Alikiba has released a new song “Sumu” featuring Marioo. Check out “Sumu” lyrics on Kelxfy.
Sumu Lyrics
Yoh Aloo! Ah baba
(Songs by Abbag)
Mke wa mtu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu kaa mbali
Mume wa mtu tu tu tu sumu
Kwenye jambo mtu tu tu tu kaa mbali
Eeeh!! Aaaaaah!
Kuna jela noma sana (Noma sana)
Aaaaaah! Kuna jela
Sawa unakula bang kula bang
Ila deni langu hunilipii aah aah
We unakula raha nile njaa
Kale kadeni kangu hunilipi aah
Aaah kuna kesho
Ujue unanivuruga daily
We si unanivurugaga sawa
Ujue unanicomfuse yelele
Acha tu nile bati sawa
Sisi sio milima tutakutana
Sisi ni pipo tutaonana
Sisi so visima, tutasomana
Tukiwa kama pipo, kitaumana umana
Mke wa mtu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu kaa mbali
Mume wa mtu tu tu tu sumu
Kwenye jambo mtu tu tu tu kaa mbali
Eeeeeh! Aaaaah
Kuna jela noma sana (noma sana)
Aaaah! Kuna jela
Ninachojua pesa karatasi
Mi nachojua
Minachojua pesa karatasi
Mi nachojua
Nimaua pesa karatasi, ni maua
Wale walosema hutoboi
Leo wapo wapii
Walosema hutoboi
Leo wako wapii?
Wapite kulee
Wapite kule kule kule
Wapite kuleee
Wale walosema hutoboi
Leo wapo wapi?
Walosema hutoboi
Leo wako wapii
Wapite kulee wapite kule kule kule
Wapite kuleee
Sisi sio milima, tutakutana
Sisi pipo tutaonana
Sisi so visima tutasomana
Tukiwa kama pipo, kitaumana umana
Mke wa mtu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu kaa mbali
Mume wa mtu tu tu tu sumu
Kwenye jambo mtu tu tu tu kaa mbali
Eeeeh! Aaaah!
Kuna jela noma sana (noma sana)
Aaaah kuna jela