JuaCali – Naskia Raha Lyrics
Check out “Naskia Raha” lyrics by JuaCali on Kelxfy. “Naskia Raha” is a Swahili word that means I feel good.
Naskia Raha Lyrics
(Eeh…eeeh…eeh)
Mood yangu iko mahali yake
Tafash kwa sai ni kitu sitaki
Smile imejaza uso mzima
Presha zote nimemaliza
Stress iko chini kabisa
Rada yote chafu nasafisha
Kuna noma naituliza
Fluids imekatika na kushikisha
Tembea na morale, we cheka
Msoto ilitufunga toka jela
Mi niko hapa ona nikitamba
Mi naskia raha tu nikiimba
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Usiue vibe ka imejipa
Tafadhali kaa kwa lane yako kabisa
Niko na allergy ya mood mbaya
Anytime nikute nikicheka sana
Maisha ni moja, hii si rehearsal
Hakuna ingine utaongezewa kando
Mi naenjoy, noma na avoid
Hii hustle yangu inanipatia joy
Inanipeleka dunia mzima
Passport sai ni ka tisa
Nazunguka ona nikitamba
Mi naskia raha tu nikiimba
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha
Eeh… Naskia raha