Gody Tennor – Mukuchu Lyrics ft. Spoiler 4T3 & RanzScooby
Check out “Mukuchu” lyrics by Gody Tennor featuring Spoiler 4T3 & RanzScooby on Kelxfy. “Mukuchu” is a sheng words that means money.
Mukuchu Lyrics
oh yoh yoh
Hizi bad walai toa fom fom fom
Hallo! (Like a Boss!)
Anataka this, anataka that
Unaskia huyu baby girl anataka ati tucuff
Anapenda mukuchu anapenda cash
Anapenda kuseti kabla tuanze kuu
Anataka this, anataka that
Unaskia huyu baby girl anataka ati tucuff
Anapenda mukuchu anapenda cash
Anapenda kuseti kabla tuanze kusmash
Ati anapenda mukuchu sema cash
Mukuchu na mashash
Kanapenda mukuchu na mabash
Akiona mukuchu anablush
Leo ni wikendi na girl amecome
Anadai nimseti anadai nimcuff
Tuko area za mababi walai zimenice
Wapoa ni wasexy na wote wamewai
Your body body fine, your body body good
Unafanya niwe blind everywhere in the mood
Ninapenda zikiwine na ninapenda zikimove
Hallo! Gody Tennor
Leo niko busy na wapoa ni wawili
Mmoja ni stand na mwingine amedunga mini
Na ni masos wamejipin fity
Hapa ni triosome tukisip tu ma henny
Ni juzi tu nimekosanisha ma couple
Cheki yoh chunga mpoa wako
Ukinicheki buda acha kufumble
Huku kuna njeve kanadai ku cuddle
Anataka this, anataka that
Unaskia huyu baby girl anataka ati tucuff
Anapenda mukuchu anapenda cash
Anapenda kuseti kabla tuanze kuu
Anataka this, anataka that
Unaskia huyu baby girl anataka ati tucuff
Anapenda mukuchu anapenda cash
Anapenda kuseti kabla tuanze kusmash
Ati anapenda mukuchu sema cash
Mukuchu na mashash
Kanapenda mukuchu na mabash
Akiona mukuchu anablush
Anapenda mukuchu anapenda cash
Kama rada sio ya pesa baby girl hauwezi mcatch
Hauwezi mkosa bukla wikendi na her girls
Wakiteka joh mabuda, masponyop wako na guap
Hawezi panda mat, ye ni uber kama unadai acome
Naunaskia anatoka wapi? Anatoka Kilimani
Ni kapeng kauni murder na mapost pale gram
Na unaskia anataka nini? Anataka ati tucum
Anataka this, anataka that
Unaskia huyu baby girl anataka ati tucuff
Anapenda mukuchu anapenda cash
Anapenda kuseti kabla tuanze kuu
Anataka this, anataka that
Unaskia huyu baby girl anataka ati tucuff
Anapenda mukuchu anapenda cash
Anapenda kuseti kabla tuanze kusmash
Ati anapenda mukuchu sema cash
Mukuchu na mashash
Kanapenda mukuchu na mabash
Akiona mukuchu anablush