Mapema Ndio Best Lyrics by Gwaash, K4Kanali & OnlyOneDelo
Yeh, yeh, yeh, yeh
Fatboy, Only One Dello Alo
7AM mguu juu sema mapema ndo best
Na upige nduru huh mapema ndo best
Ka unafeel better than the rest
Mnganazi tei ikuje na machaser
Mapema ndo best, punguza mastress
Mapema ndo best, skizia ki sh sh
Eeh mapema ndo best
Mambo ni mingi masaa ni chache
Na mapema ndo best, eeh
Mapema ndo best, punguza mastress
Mapema ndo best, skizia ki sh sh
Mmmh mapema ndo best
Mambo ni mingi masaa ni chache
Na mapema ndo best
Best best sponyo (mapema)
Na sitoki huko mape mapema
Hi there supuu, hi there supuu
Nakumind na ushalenga
Vaa swelo ukiskia imedrop YT
Bad man na wallet imejaa hygiene
Kubwa kubwa kukanyaga kila yard waiskis
Kanali mi look book mi ndo yard style hii
Uchawi gani p^ssy analeta side hii
Mi hustep nikiwa one man sidai mbogi saidia
Unaeza kufa ukidai kunibreeze
Na sisi mbulu huskia na sisi hutudiss
7AM mguu juu sema mapema ndo best
Na upige nduru huh mapema ndo best
Ka unafeel better than the rest
Mnganazi tei ikuje na machaser
Mapema ndo best, punguza mastress
Mapema ndo best, skizia ki sh sh
Eeh mapema ndo best
Mambo ni mingi masaa ni chache
Na mapema ndo best, eeh
Mapema ndo best, punguza mastress
Mapema ndo best, skizia ki sh sh
Mmmh mapema ndo best
Mambo ni mingi masaa ni chache
Na mapema ndo best
(Fatboy)
Nowadays nawatrace na kigadget
Lifestyle ni ya mjaka mi msape
Na venye napandisia jua ni asset
Alijichocha na mrenga sai ako palace
Anapenda tu kurenga ndio zake
Tear gas pesa mbili tu ndio zake
Niko njaa nimekuwa tu kidale
Nataka nikulambe ka barua
Anataka chali ana flat tummy
Lakini girl hana ass
Hahaha….That’s so funny
So funny
7AM mguu juu sema mapema ndo best
Na upige nduru huh mapema ndo best
Ka unafeel better than the rest
Mnganazi tei ikuje na machaser
Mapema ndo best, punguza mastress
Mapema ndo best, skizia ki sh sh
Eeh mapema ndo best
Mambo ni mingi masaa ni chache
Na mapema ndo best, eeh
Mapema ndo best, punguza mastress
Mapema ndo best, skizia ki sh sh
Mmmh mapema ndo best
Mambo ni mingi masaa ni chache
Na mapema ndo best
4:20AM mapema ndio best niko on
Niko ndakas ndakas kama thong
Birds zina sing na mi nasing along
Sing along sing along
Niko na Riri in my Ferrari
Leo si reply text za “Rada ni gani”
Side hii ni – sionekani
Naskia kujikuna epidermis
Uki invest mapema ndio best best
Na u-avoid madenge madingo
Mi humcheki ndethe ata akiwa dressed
Tulikuwa ndethe manze aka confess
Uskuwe ivo, uskuwe ivo
Staki kuona mbanga nina ombitho
Alipigwa dimanga akatoka mbio
Mapema ndio best best best Alo
Mapema Ndo Best Meaning
Read the meaning of Mapemda ndio best here. I have written an article describing the meaning of “Mapema Ndo Best” which is currently trending in Kenya.
Follow Gwaash, K4Kanali and OnlyOneDelo on Instagram