Jux ft Zuchu – Nidhibiti lyrics
Tanzanian artist Jux new song “Nidhibiti” lyrics released on 25 November 2022 off King of Hearts Album. Check out the lyrics below.
Una hali gani unayefanya moyo wangu unadadarika
Niko taabani umeniacha dakika mbili tu nishaboreka
Umeniweka rehani changu kiwiliwili moyo umeuteka
Umeniathiri honey nshaaribika mbaya kwa yako makopa
Kama mapenzi kitabu ungekuwa kurasa ya katikati
Ukichanwa wewe stori haiendelei
Aaaah nakupenda mpaka adhabu baby nahisi kuna hatihati
Ukiniacha wewe walahi mimi sitoboi
Honey honey (Honey) Wangu wa ubani bani
Mimi ndege wako sa manati ya nini
Nakupa ruhusa weeee!
Nidhibiti nidhibiti nidhibiti
Nakupa ruksa weee!
Nidhibiti nidhibiti nidhibiti
Ewee baby Eweee baby Mke wangu mume wangu
Mimi na wee hadi milele
Ooooh mbivu ziwe mbichi ni vya kwetu
Sisi sijali nisharidhia
Yayaah
Wabaya wanafiki watafute viti
Wakae kwa kutulia hayaaa
Upendo kwetu faradhi umepita tsunaa
Rabiii atuhifadhi mpaka kufika chanaa
Na mimi kwako ni radhi kufa kuzikana
Waambie wavunje nazi si tumeshindakana
Honey honey (Honey) Wangu wa ubani bani
Mimi ndege wako sa manati ya nini
Nakupa ruhusa weeee!
Nidhibiti nidhibiti nidhibiti
Nakupa ruksa weee!
Nidhibiti nidhibiti nidhibiti2