Tipsy Gee – Taki Nakati Lyrics
Check out “Taki Nakati” by Tipsy Gee on Kelxfy.
Taki Nakati Lyrics
How pretty is your neighbor
Ju wangu joh ni peng
Jana Saba ilinibamba
venye bana alibend
Nilizu-balia denda kizoobiezobie geng
Nilicheck nikacheck again and again
She’s a ten kameiva kasipogeuzwa kataungua
Ni kadiva kanasumbua
Kanafanya adi mih na shiver
Na sina cure mih nacheza sure
Natajipa c unanijua
Peng check confirm nishaa keba katam
Na venye jooh kamevaa kanakaa kamenicharm
Na Bado cjang’am atakama ni jina ya gram
Na inafanya na jam bana inafanya na jam
Taki nakati Taki Taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji Taki Taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Taki nakati Taki Taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji Taki Taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Mahna Tipsy
Fetish yangu huanga funny
Yaani bora akona bunda dredi
Na ni mali safi mtoto wa nyumbani
Short en sweet to be sexy
She be my queen kanadunga Dera
Kanataka ni nicheki
Pale kwa hip kakituck mimi ni kwisha
Kwanza kakiuma lips si mi kashaa nibakisha
Sai mih nasimp mahali kamenifikisha
Naona mih nikichizi,
Msupa ni peng check confirm
Nishaa keba katam
Na venye jo kamevaa
Kamekaa kamenicharm
Na Bado cjang’am atakama ni jina ya gram
Na inafanya na jam bana inafanya na jam
Taki nakati Taki Taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji Taki Taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Taki nakati Taki Taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji Taki Taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana