Kaveve Kazoze meaning in Sheng & Lyrics by Ngesh

Kaveve Kazoze is a sheng word that was discovered in 2023 by Ngesh, a Kenyan rapper. Kaveve means khat or miraa, also known as jaba. Kazoze is a sheng word that means getting high. So Kaveve Kazoze simply means getting high on khat. The word got famous after the release of “Rieng Genje” by Spider Clan.
Kaveve Kazoze Lyrics
Rieng Genje haha
Genje ni genje warazi wamemedi
Ni kumed, tuko fiti tuko baze
Tunanauwo ni wikendi
Warazi wakimuok tuko pia tukibanji
Rieng ka ni genje rarua kuchafua
Madunya, mabanga warazi si ni fiat
[Ngesh]
Ni mangware na sidai kukatema ( it is in the morning and I don’t want to spit it)
Ni kajaba si heri tu nikameze (It is khat, better I swallow it)
Pande moja ni kaveve kazoze (One side is full of khat, let me get high on it)
Unibebe hata mbele ya kirende (You carry me even infront of a multitude)
Sitambui wewe maunenge ( I don’t mind, getting hungry)
Mamiwa, maembe na marenge ( Sugarcanes, mangoes and pumpkins)
Ngesh tex ni mdem wa maform (Ngesh Text is a girl who loves to party)
Chain chain ifike hadi kwa Tom (Chain chain till it gets to Tom)
Magalbase wangu ni madotcom (All my girls are dotcom)
Cashcrop za Nyandarua ni mawaru (The cashcrop of Nyandarua is potatoes)
Rieng genje nganya tifi ni Subaru ( Good vibes, a good car is a Subaru)
Niliachwa na Karao nikatekwa na kaparo ( I was left by a police, then I got engaged to Kaparo)
Mataro master wangu ni Kamaru (My advice person is Kamaru)
Ni bidii hashtag kujituma (It;s all about hard work, the hashtag, going hard)
[Mwasray]
Spideclan tunakam kunyambisha
Na mambleina kuwastamp kuwatoka
Mangwangis kuwatoka kimangoto
Ma aunties na kuchat na maphoto
Msitense ni magyals wanadance na ka evidence
Hio sio case tukijinyc na ma ice
Ni machase na machase, yoh yoh skia
Mwasray na manyanga nikisakanya mafala
Nikibonda utanauwo mi sipendagi ufala
Nitakuspin na mabare
Nikufulize kama Tala (Tala)
[Banguz]
Genje ni genje warazi wamemedi
Ni kumed, tuko fiti tuko baze
Tunanauwo ni wikendi
Warazi wakimuok tuko pia tukibanji
Rieng ka ni genje rarua kuchafua
Madunya, mabanga warazi si ni fiat
[Mguz]
Spiderclan ni the gang on the mic
Mbogi fiti inanyc na kasize
Na madem nawaride kama bike
Na mafans wakiwatch wanasub na kulike
Rieng genje ziko fine ni kuraru
Si kiwake tukichome tukimedi
Na mashada zikiwaka kimogatha
Zangu ni mamoshi ka chumli za ocha
Spider clan kazi tu kuchachisha
Ah nduthi jina kubwa watagwaya
Ni mirista kusetoka, madem kuwakemba
Na mbogi kuzitokaaa..
[Banguz]
Banguz kuwatoka niko genje mawikendi
Na rieng ya wanoko kuwatoka na kajing
Jing jing maithaa majioni
Warazi wanabuya niko idhaa ya mamorio
Wasupa wanaroria na matori, ni kungori
Warazi na mandunya kuroria
Kinyama tunaseti manati konda
Na ni hard tukiclash, tuko hapa na madashari
Genje rieng spider clan tumekam kuondoka
Mirista, kutoka miondoko rarapon
Ndizli tunabuy tukilaunch tunagive
Tumebounce wakitoa shikilia ka bazenga
[Banguz]
Genje ni genje warazi wamemedi
Ni kumed, tuko fiti tuko baze
Tunanauwo ni wikendi
Warazi wakimuok tuko pia tukibanji
Rieng ka ni genje rarua kuchafua
Madunya, mabanga warazi si ni fiat
[Banguz]
Genje ni genje warazi wamemedi
Ni kumed, tuko fiti tuko baze
Tunanauwo ni wikendi
Warazi wakimuok tuko pia tukibanji
Rieng ka ni genje rarua kuchafua
Madunya, mabanga warazi si ni fiat
Hi everybody