Lil Maina Alert Lyrics
Kenyan artist Lil Maina has released a new song titled “Alert”. Check out “Alert” lyrics by Lil Maina on Kelxfy. “Alert” is Lil Maina’s first song in 2023.
Lil Maina Alert Lyrics
Maisha ya, ah, ah, cheki
Ni at ease, alert, at ease alert
At ease alert, at ease alert na
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Ni at ease, alert, at ease alert
At ease alert, at ease alert na
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
So ni 1, nimekuja home nijiondoe very fast
Nikingojwa na ile Uber yenye hucheza “Last Last”
Nafaa kuenda church but sidhani mi ntakam
Juu manze venye kumeshika hadi ukipiga ni reverse
Ngoja, hold up, kuna mali imekam
Kando KAV Subaru na najua ati imejaa
Uko wapi? Nko kwa jam
Si unajua what a—, what a—, what a—, ah
Ni at ease, alert, at ease alert
At ease alert, at ease alert na—
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Ni at ease, alert, at ease alert
At ease alert, at ease alert na—
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Yeah, hii beat ni kali na ni choppy
Nikitokea bash najifanya sijasosi
Alafu kwenye niko wanadai ati hawatoki
Jaribu mtu mmoja utalala na masoki
Dondi ukipata nimefura usitry kubisha hodi
Usiulize nikindasu ju wapoa hatuoni
Ni macho imefura usichoche ati huoni
Venye zinanionyesha ni ati nganya kwa ploti
Ni at ease, alert, at ease alert
At ease alert, at ease alert na—
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Ni at ease, alert, at ease alert
At ease alert, at ease alert na—
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
At ease alert, at ease alert na—
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Ni at ease, alert ah