Sewersydaa – P.M.M Lyrics | Mauru Unit
Check out “P.M.M” lyrics by Sewersydaa on Kelxfy. “P.M.M” is off Sewersydaa’s new album, “Mauru Unit”. According to Sewersydaa, P.M.M is an abbreviation for premeditated murder.
P.M.M Lyrics
Mmenipatia hii sifa yote
Hata sikuwa nahitaji
You’re far too kind
(Yoh! yoh! yoh! yoh! yoh!)
Dem alinipata red-handed
Nikishuka na wawili kwa floor
Man’s just from being remanded
Ngori ni ya kubeba mtoo
Kwani lazima ukuwe reminded
I’m just a victim of madness
Kwani lazima ukuwe reminded
I’m just a victim of madness
Dem alinipata red-handed
Nikishuka na wawili kwa floor
Man’s just from being remanded
Ngori ni ya kubeba mtoo
Kwani lazima ukuwe reminded
I’m just a victim of madness
Kwani lazima ukuwe reminded
I’m just a victim of madness
Premeditated murder, premeditated murder
Premeditated murder, premeditated murder
Premeditated murder, premeditated murder
Premeditated murder, premeditated murder
Tango 1, Tango 2
Waambie hapo unadeal na Tangut, uh
Troublesome kutoka yout
Bitch I thought you already knew, uh
First of all haufai kuni-school
Ka umeniona una-act tu cool
Al Capone ka haunanga clue
We na hio badge unajiona mkuu
Hata doggy inajuanga ile dangerous route
Come na idea bila doh tunai-snooze
Ndom ikibaki napatia madush
Siku hizi drop imekuwa too smooth
Kitu hupitia kwa nozzle ni true
Si unajua ikifika kwa mongo ni ku—
Vutia Oti apige simu
Zingine ziletwe zituharibu
Chatty chatty wana-talk upus
Mbona wanahepa wakionanga crew
Ngori za rue zimepita hadi roof
Ndio maana temper inabidi una—
Otherwise tunabebwa ma-fool
Raiyaa iko kambi inakanyaga—
Stack yote usiache kitu
Ichape hadi irudi mtaa ikiwa loose
Dem alinipata red-handed
Nikishuka na wawili kwa floor
Man’s just from being remanded
Ngori ni ya kubeba mtoo
Kwani lazima ukuwe reminded
I’m just a victim of madness
Kwani lazima ukuwe reminded
I’m just a victim of madness
Dem alinipata red-handed
Nikishuka na wawili kwa floor
Man’s just from being remanded
Ngori ni ya kubeba mtoo
Kwani lazima ukuwe reminded
I’m just a victim of madness
Kwani lazima ukuwe reminded
I’m just a victim of madness
Premeditated murder, premeditated murder
Premeditated murder, premeditated murder
Premeditated murder, premeditated murder
Premeditated murder, premeditated murder
Kill kila kitu inasonga
Si mliambiwa hapa muache kupita
Scene inakaa movie ya horror
Ni ka wasee wana-play GTA sita
Bitch alicheza na dollar
Ile kung’ora akapigwa kichwa
This is not the forum ya kuongea ni ka unalipwa
Deep Indaa miaka sita, ju ati sikuwachekeshea
Acha sa niwapatie recap
Hio beat ikiendelea
Waliamua kukuja rima
Saa ile kila msee amezima
Neighbor alikuwa on wakaingia
Sikuwai jua hata ni Mama Pima
Asubuhi na mapema 9 hivi
Kwa mbao nikajipata nimesimama
Kujitetea lawama, najaribu kubonga inakwama
Magistrate ni ka ako maji
Akaamua kunigongea kisabanta
Tangu hio day, ni premeditated murder