Masterpiece King ft. Domani Munga – Guza Umbwa Lyrics

Check out “Guza Umbwa” lyrics by Masterpiece King featuring Wakadinali artist Domani Munga on Kelxfy.
Guza Umbwa Lyrics
Guza umbwa ndo ujue mwenyewe
Guza umbwa ndo ujue mwenyewe
Guza umbwa ndo ujue mwenyewe
Guza umbwa ndo ujue mwenyewe
(Master, Wuzu)
(Big Beats Afriq)
Kama gari yangu ukiguza unapigwa vibare
Mi ukiniguza je?
Niko na gang Umoroto, Kibera, Oyole
Wapi mi sina say?
Nina dem yako umemtumia ferrari
Akabuy jaba nishikishe
Baroda kwa border ni ngumu tulale
Ni must walipe ndo uwapitishe
Hio mafuta ikuje ikiwa Total
Ju hii ganji hainaga ma emotions
Tukifanya tunafanya hadi soo
Manze t*mba serikali wanatuulia hadi watoto
CBD imekuwa kama Gaza
Eastlando imebadilika mekuwa Portmore
Wanasimamisha lori za marijuana
Na huku mabareta zinapita na mkoko
Guza umbwa na ujue mwenyewe
Kosa ganji ndo ujue fala ni wewe
Unaenda kazi unarudi bila any
Mpaka hazishiki inabidi niteme
Cha! Straight to your face kwani?
Mimi nilitaka unitrace
Bangi zangu zote nimezilace
Magwangi wangu wote hurelate
Siwezi regret!
Akili ni Benz Benz Benz Benz
Benz Benz Benz Benz
Gari ni Benz Benz Benz Benz
Benz Benz Benz Benz
Dem yangu ni mbad bad bad bad
Bad bad bad bad
Naifanyia gang gang gang gang
Gang gang gang gang
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Still I’m standing on my business
Still I’m standing on my business
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Still I’m standing on my business
Still I’m standing on my business
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Nani! Si tufight tujue ni
Nani atakuja matanga ya nani
Touch my dog uambiwe
Mwenyewe ni mtu wa mari mari
Nishai doze, I ain-t…for sure
Sijai..dem akinipa doh
I’m not into non-profit organizations
Teargas kwa Jah son Sellasie
Staki siasa za Salasya
Tukutoke tiks—TikTok
Tikitaka nyingi hazina tuzo
Nil! Niliwapiga mbili sema echo
Just like a headcut…
Just like a headcut…
Yujiro!
Niko na kitu mzuri (Wow!)
Niko na kitu mzuri (Auch!)
Niko na kitu mzuri (Oh)
Niko na kitu mzuri (Eh)
I had that talking stage
Ati boyfriend yake bado utawapata wanaisosi
—gate unakuja na chumvi
Sukari na Royco na Sossi
Aah, hii upuzi ndo kazi
My mind husoma Benz Benz Benz
Hata sijali wakiblein mblein mblein
Mblein mblein
Upuzi ndo kazi, Yujiro!
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Still I’m standing on my business
Still I’m standing on my business
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Still I’m standing on my business
Still I’m standing on my business
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe
Guza hio umbwa ndo tujue mwenyewe