Toxic Lyrikali ft. Countree Hype – Stone Lyrics
Check out “Stone” lyrics by Toxic Lyrikali featuring Countree Hype on Kelxfy.
Stone Lyrics
Na patanga punchline niki stone
Ni ka ni bating
Nisha ki-sanif
Nisha ki-ngati
Siko safari but na trip na ki-Barbie
Niko majani
Aló
Aló
Punchline niki stone
Ni ka ni bating
Nisha ki sanif
Nisha ki ngati
Siko safari but na trip na ki-Barbie
Niko majani
Aló
Dawa ya moto ni moto, akinikulia moto namchoma (Na mburn)
Namtandaza namuacha kwa bedi dormant
First priority itabaki kua dollar (Dollar Dollar)
FYI siezi kaa na informer
Sijang’ara za loan
Wanang’am hii doh najitaftia solo, mi ni loner (One Man)
But niko na mbogi itakusundua ukining’ora
Fully active kuna malines na chora
Underground na mahasira anaroga
So anakaa mudfish
Diss zote qualified as disgusting
Tukitoka bumbrush ni after party
Tukibumburwa ilikua ni practice
Dem ndenga mamunju akitaka chuma plus stick
Dark skin lakini figure imetoka Spanish
925 shingoni, mboka tulihepa matrix
Vile ana sambaza ni ka ameivia ma tricks
Niliosha mwere soo nikageuka opp
There’s a lot in my parking lot
Nimefanya a lot lakini siezi thubutu kurudi nyuma na ogopa kugeuka salt
Naeza kuzamisha, chunga nimejaa float
Ka sina doh size maintain indoors
Ukinimblein na funga mambo yako, haijalishi ka tulikua close
Hii ni real life, mi charjie si soap
Ananifwata kama bee
Nilimsho ntamshikia mzinga
Reverse psychology na minya haezi ni nyima
Collabo unaeza wai ni venye nimejificha
Lyrikali ill bila tiba
Ukiona GLE east hutaniona lakini mi ndio owner
Rusha mawe baadae ukae umemeza baking soda
Ni ka ni laana, 4 mbao na wai focus
Venye na ball sai ghetto wananita baller
Donga macharjie bado wananiita mkora
Mkia kwa pori ya nyuma ndio nieke mbele Mola
Nimejaza ma ex nime explore kama Dora
I told her so nguna usinilete za u toddler
Punchline niki stone
Ni ka ni bating
Nisha ki-sanif
Nisha ki-ngati
Siko safari but na trip na ki-Barbie
Niko majani
Aló
Punchline niki stone
Ni ka ni bating
Nisha ki-sanif
Nisha ki-ngati
Siko safari but na trip na ki-Barbie
Niko majani
Aló
Aló
