Ommy Dimpoz ft. Jay Melody – Nitakupa Lyrics
Check out “Nitakupa Lyrics” by Ommy Dimpoz featuring Jay Melody on Kelxfy.
Nitakupa Lyrics
(It’s S2kizzy beiby)
Malaika, wako mwanga
Wamulika kila kona
Haya mapenzi yako kisimani
NIshazama ndo hivyo nishafika
Si unaona mwenzio
Kwako nimejituliza
Kwangu umetoa giza
Penzi lalo miujiza mwenzio
Hata wakiniuliza juu ya utamu unaonipa
Majibu yangu umepitiliza
Unaikosha roho
Ntakupa ntakupa, moyo wangu ntakupa
Ntakupa ntakupa, my baby nitakupa
Nitakupa nitakupa, huu moyo ntakupa
Ntakupa ntakupa, my baby nitakupa
We utamu wako kama nakunywa supu
Haunikati kama umeme wa luku
Viudambwi vyako ukinipa chukuchuku
Asalam aleikum majirani
Nipe nzima basi usinipatie nusu
Na hadharani nikushike nikubusu
Utapewa kesi mi naona
Nikifia ndani
Mwenzio kwako nimejituliza
Kwangu umetoa giza
Penzi lako miujiza
Mwenzio, hata wakiniuliza
Juu ya utamu unaonipa
Majibu yangu umepitiliza
Umeikosha roho
Ntakupa ntakupa, moyo wangu ntakupa
Ntakupa ntakupa, my baby nitakupa
Nitakupa nitakupa, huu moyo ntakupa
Ntakupa ntakupa, my baby nitakupa
Oh take my heart
You’re my number one
Take my heart, take my heart