Natty – Baradhuli Lyrics
Check out “Baradhuli” lyrics by Natty on Kelxfy. “Baradhuli” is a swahili word that means a fool or an idiot in English. “Baradhuli” is directed to Big Yasa who recently dissed Natty in “Burning Bush”, their recent collaboration with Kenyan artist Milashe.
Baradhuli Lyrics
Wacha kuniongelesha ivo
Ju utakula kofi na kama tunaendelea
Unajua ni nyi mumeniita
Na nitafanya kitu hapa ushangae
Niliamka magiz niwashe kikolo narudi kuzima
Ati boy hana doh kuniliko
Ni ka macho zangu zinaanza kunipima
Tunazima hio nyota alidhani ni star
Ona sasa uliamsha stima
Kuwa wise ukichapwa battle
Ni ka kuchoose dem utapatia mimba
Risky
Najua breadwinner flani amesota
Anapiga show miaka moja
Na pesa unapata naipata show moja
Risky
Huyu maskini anadhani ni donga
Kitu huyu dwanzi anaezanishinda
Ni waistline ya toja na upuzi anabonga
What do you mean?
Naskia yut anafyatu
Ati boyz ana bars kuniliko
Ni ka ako na pens files tatu
What do you mean?
Big Rasa hufurahisha viatu
Kwanza amalize kubeef na beef
Ndo ukuje uanze kubeef na watu
Unataka mafacts okay!
Wacha nikupe ka kumi
Kuna tofauti ya rhyme na wordplay
Lakini huezi anza kuelimisha baradhuli
Ndwanzi anakimbilia first aid
Unajua big sting-big kwa hadi kwa hii —
Ka hujui rhym inaeza kuwa bar
Niko sure babako ndo anaicrave anaturn
Huyu ndwanzi anadhani ameomoka
Na bado ako ghetto anachanga za chama
Unaskizwa juu ya macollabo
Unadhani ni wewe, wanaskip ukianza
Nilitegea chokoch ka wewe
Ulichukua bait ukidhani ni banter
Sa nitakufanya ka msanii flani
Áliniblock juu ya kumpatia trauma