Ochungulo Family – Khartoum Lyrics

Check out the lyrics for “Khartoum” by the Ochungulo Family on Kelxfy.
Khartoum Lyrics
Mate mbaya tema tup
Mate mbaya tema tup
Tup, tup, tup, tup, tup
Ambia hater alambe shoe
Ambia hater alambe shoe
Shoe, shoe, shoe, shoe, shoe
Dar es Salaam na inafeel ka ni Khartoum
Yo, Dar es Salaam na inafeel ka ni Khartoum
Real life na nacheki ka ni cartoon
Yo, ni real life na nacheki ka ni cartoon
No face no case namjua na necklace
Na si mimi ntaitwa witness
Brikicho iliongeza fitness
Ukiona mwili shadow ya waitress
Unaniconfuse na Pablo Escobar
Unaniaccuse na points za pornstar
Ebu ni-excuse ka mi ni veteran
Alumni ndani ya school van
Nakunywa picana, tukipigana
Leo niko maziwa, na sisi Ilara
Niko na mlami amebeba ka Embassava
Tayarisha mapaja, mkwaju wacha
Mate mbaya tema tup
Mate mbaya tema tup
Tup, tup, tup, tup, tup
Ambia hater alambe shoe
Ambia hater alambe shoe
Shoe, shoe, shoe, shoe, shoe
Dar es Salaam na inafeel ka ni Khartoum
Yo, Dar es Salaam na inafeel ka ni Khartoum
Real life na nacheki ka ni cartoon
Yo, ni real life na nacheki ka ni cartoon
Lunch Teriyaki
Staki reggae leo nadai mariachi
Hata bado nikicheat haniachi
I just need a girl who can make me happy
Ai, peer pressure
Peer pressure inaleta beer pressure
Ni wa Huruma but leo anatesa
Huezi sema bye, kwa baesa
Nilidhani ye ni guzzler, bro
Nilimkula ju ya tire na pineapple punch
Nilidhani kwao ni hapa tu
Nilimuacha ju fare imepita punch
Mate mbaya tema tup
Mate mbaya tema tup, tup
Tup, tup, tup, tup
Ambia hater alambe shoe
Ambia hater alambe shoe
Shoe, shoe, shoe, shoe, shoe
Dar es Salaam na inafeel ka ni Khartoum
Yo, Dar es Salaam na inafeel ka ni Khartoum
Real life na nacheki ka ni cartoon
Yo, ni real life na nacheki ka ni cartoon
Na siogi after mechi
Ndio nitembee nikinuka utam
Na sioshi hata bedsheets
Nikilala nang’orota utam
Uko in Spain ama “S” iko silent?
Hamnitaki nilijileta like a parent
I’m the ex, niko beach na ma-current
Ako Rongai na anasema Lower Karen
Mr. Bombastic, tell ’em fantastic
Msupa aliniwaste ju ako na duri plastic
Utakula L ju ana punya elastic
He’s a Nigerian, so orgasmic
Hand to the head, kwangu ikawa headquarter
Klabu ni wababas wameleta granddaughter
Mwenye huendea mzinga ndio anakuwanga amesota
Piga line after mechi anang’ohota
Mate mbaya tema tup
Mate mbaya tema tup, tup
Tup, tup, tup, tup
Ambia hater alambe shoe
Ambia hater alambe shoe
Shoe, shoe, shoe, shoe, shoe
Dar es Salaam na inafeel ka ni Khartoum
Yo, Dar es Salaam na inafeel ka ni Khartoum
Real life na nacheki ka ni cartoon
Yo, ni real life na nacheki ka ni cartoon