Spider Clan – Rada Fisa Lyrics
Kenyan Gengetone crew Spider Clan have released their first song titled “Rada Fisa”. Read “Rada Fisa” lyrics on Kelxfy. “Rada Fisa” is a sheng word that means “Clean vibes“.
Rada Fisa Lyrics
Rada ni fisa tukicheza tisa
We cheza sita bila kuswita
Teller namba sita ka mamacita
Nacheza masisters bila kutisha
Jengwa mapizza utokwe kapizza
[Banguz]
Rada fisa tuko fiti kuririma
Banguz nawatoka na kamare
Thugez wananitambua kiferari
Giz giz si unisetie kishada
Niko tifi nimeongoja namba saba
Spider Clan tumekuja kuwaroga
Ka ni turi mali safi ni kulima
Mfisa rada kwela ikisetoka
Mizinga tunakemba jo tukicheza
Piga chenge morio ukijing’ora
Rada luku fisa, kabariang kusetoka
Apana chezaga na mali na ni ndechu
Si ni fiat na ako zabe na amedenji
Anaroll kwa mrodi na mndechu
Amendanasu kuberr na na anatimki
Nadai fegi na si spoti
Nadai mtoto ataniteka ndani ya pori
Kwa Subaru si anaroria na matori
Mpige tei asahau una marothi
Ka ni pat nimembulu na Migingo
Nipate zanabe nakuadisia migingo
Yoh nakakula na mastingo
Na kidebe ju nimekanafi mathingo
Nipate tu kwa dem nimemedi ka utingo
Yoh nasipendi vile stingo
Ju kwa zabe nimekanafi na wingo
Na vile tu umepark utadhani ju umekata
Kamebeba manyu na hajakaibonda
Kakiwalk kanatwerk zikisonga
Na mangeus wako zabe wamechora
Na vile jo amebeba utadhani anasetoka
[Chorus]
Rada ni fisa tukicheza tisa
We cheza sita bila kuswita
Teller namba sita ka mamacita
Nacheza masisters bila kutisha
Jengwa mapizza utokwe kapizza
[Ngesh]
Mi si wa jana, napenda vijana
Wale wa kuchana hadi zinanyanya
Mwenye atakufinya usiku na mchana
Queen wa marubber hunyimana namba
Kisha wananyamba
Gethaa ni ya jaba
Nimekuja na jaba sasa ni kumedi
Ka nimeketi karibu kwa mbogi
Mokorino saika, anauza diper
Akipiga sip, form ikijipa mi ndo sniper
Rada fisa tukivaa kikorombo
Beng beng tumbebe na wataru
Na matharo imejaa kwa mokoro
Zingting tukirima na mamboka kurarua
Zimenice tukicheza tu na mambaru
Zanabe na imejaa tu warazi
Ziririme mbaka nagothoma
Mbuthu zikishika kuririma
Na mambleina wakikam tunawalima
Zimenishika ni mambichwa hadi kwa kichwaa
Hadi kwa kichwa
[Chorus]
Rada ni fisa tukicheza tisa
We cheza sita bila kuswita
Teller namba sita ka mamacita
Nacheza masisters bila kutisha
Jengwa mapizza utokwe kapizza