Ethic – Ukitaka Lyrics
Read “Ukitaka” lyrics by Ethic Entertainment on Kelxfy. “Ukitaka” is a new song released this year by the Gengetone crew Ethic; Swat, Seska, Zilla & Rekles, making their musical comeback as a group.
Impact-Site-Verification: da8d5468-3415-4f47-8f8f-e2b482c7b29a
Ukitaka Lyrics
kitaka jua mi ni nani, jua mi ni nani
Naeza kuwa hata joh hooligan, ukitaka kuona
Mi siwezi rudi back, sirudi back
Nikipita hapo nimetoka, pita hapo nimetoka
Ukitaka jua mi ni nani, jua mi ni nani
Naeza kuwa hata joh hooligan, ukitaka kuona
Mi siwezi rudi back, sirudi back
Nikipita hapo nimetoka, pita hapo nimetoka
[Zilla]
Na niko na swag
Napita na madenge wako na rizzla kwa bag
Ni ka wakenya tulijengewangwa kwa lab
Juu kampuni kunyamas joh ni KEBS ama KWAL
Unadiss Keg ya Black, na hio ndio tunakata
Madenge warembo brathe ameendea wamama
Weekendi ni jaba, starehe na raha
Na vile ni kurisky, nikikata nitafanya?
Wacha mseng’enge itembee
Mrazi tumuwekee mseng’enge kwa keg
Ka ako maduya bebee
Na ka ako na cheddah imteteange huko mbele
Ukitaka jua mi ni nani, jua mi ni nani
Naeza kuwa hata joh hooligan, ukitaka kuona
Mi siwezi rudi back, sirudi back
Nikipita hapo nimetoka, pita hapo nimetoka
Ukitaka jua mi ni nani, jua mi ni nani
Naeza kuwa hata joh hooligan, ukitaka kuona
Mi siwezi rudi back, sirudi back
Nikipita hapo nimetoka, pita hapo nimetoka
[Seska]
Tukiwa sense tunajimochoa na gang
Alafu mpoa wako msee akam anirombosee
Kwanza mbele yako msee is everything atomokee
Nibaki in a dilemma niendelee ama nichoree
Ushai deal na msee madam mpaka saa hii amesee
Toto sema njiti long hafai amesee
Akifind out, what the fuck am I to say?
Basi, alijileta mi sikuforce msee
Ukiget mngeo akiwatch mavideo
Za ki Baltasari leo tafakari na u– very soon
Pa-pa, utapumpiwa na si keg
Ama ni mama, ushatandikiwa na si bed
Ukitaka jua mi ni nani, jua mi ni nani
Naeza kuwa hata joh hooligan, ukitaka kuona
Mi siwezi rudi back, sirudi back
Nikipita hapo nimetoka, pita hapo nimetoka
Ukitaka jua mi ni nani, jua mi ni nani
Naeza kuwa hata joh hooligan, ukitaka kuona
Mi siwezi rudi back, sirudi back
Nikipita hapo nimetoka, pita hapo nimetoka
[Swat]
Vurugu ni ya machuo natokea na kidungi
Macho pandisia pachu ka umenyanya kinduku
Na ndai ndaki ka ile keja ya Omollo
Na niko ritho ka wagido za marima
Siitwi ivo, wacha kuharibu hio jina
Mapenzi ni ya salasa na bangi ni ya chwani
Siitwi ivyo, wacha kuharibu hio jina
Na sisi ndo huchora hao mabibi zenyu stretch marks