Kinare Lyrics by Lil Maina x Mtapeli Na Bado
Enjoy Kinare Lyrics by Lil Maina featuring Mtapeli Na Bado. Kinare is a Sheng word that means fire. The song’s audio is mixed and mastered by Boutross, while the music video is shot and directed by Kenyan director Sleeze.
Kinare Lyrics
Cheki, cheki ah
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kigwaka
Lete kinare nikusetie kigwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kigwaka
Lete kinare nikusetie kigwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Kinare, nikusetie kifwaka
Ni bado 2010 venye kumewakawaka
Mabare, ukianza za ufala
Mninja unastuka mpaka una stammer
Nani hapa ako na lighter jo
Mechi zangu ni kama elclassico
Real Madrid ama Barca nizo jo
Mjas na kijaba nimegeuka criminal
Nipate Rubis irori ni liquour store
Sunda wada ndo zishike even more
Leta kashata stabilizer ndo hivo jo
Alafu hapo kando mnakohoa ai nini bro?
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kigwaka
Lete kinare nikusetie kigwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kigwaka
Lete kinare nikusetie kigwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Uh, mtape, mtapeli na bado
Wacha haraka
Cheki ukikuja hapa we ni takataka
Yoh unabonga vile unataka
Alafu ukicheka hapa utagandwa
Cheki masura zimebonda
Alafu hakuna mwenye ako na kidonda
Na bado tumetoka huko Runda
Cheki zimerunda yoh
Niko daily kama ukedi
Nafanya warembo wote mtaani wanastedi
Wakistedi nawalaza kwenye bedi
Kwenye bedi nawapiga mijeledi
Machali wao nawapiga mahedi
So sick in the hedi ka skedi
Meditation nipate kwa pedi
Already nasteady macho red zimefedi
Lete kinare nikusetie kiwa
Lete kinare nikusetie kifwa
Leta kinare nikusetie kiwa
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kigwaka
Leta kinare nikusetie kifwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Lete kinare nikusetie kiwa
Lete kinare nikusetie kifwa
Leta kinare nikusetie kiwa
Lete kinare nikusetie kifwa