Mondichino – Mufo Lyrics ft. Mahdboi & Auline Paul

Check out “Mufo” lyrics by Mondichino featuring Mahdboi & Auline Paul on Kelxfy.
Mufo Lyrics
Nina mufo nimeamua kwangu uradi
Nashindwa nipigie Sharon ama nipigie Angie
Then jo hakuna mwenye ata mwenye analand
Na venye nimemaintain keja leo usafi
Nina mufo nimeamua kwangu uradi
Nashindwa nipigie Sharon ama nipigie Angie
Then jo hakuna mwenye ata mwenye analand
Na venye nimemaintain keja leo usafi
Nditni niko herbs, — shamba ndani ya akili
Matawi na mablunts kujitibu tu vifiti
More than highness nasetia huko rooftop
Kuseti jo videadly after kukatishwa mufo
Nina uradi lakini sina manzi
Nachochwa na mangoso na hakuna mwenye analandi
Nimepanguza mabati hadi nambao
Sijatoka kejani kumbe ni vako za Sharon
Una bunda basi kama wenzako
Waulize siri ni nini inamwagwa hapo
Ukinidate huwezi niletea mateso
Kenye sipati kwako naenda kutafta kwa arif yako
Rengo siku hizi kukagua ama ni msupa ama ni mathe
Nikulock tunalock, kigode kinapitia pattern
Clean na legit huh niite chali champe
Mahdboi na Chino kucombine ni kunare
Huh riz na mali ever green
Ukiwa na stress make sure umekindaga kwa pedi
Haina noma nimehatishwa leo uradi
Baadae nitashika kamoja nitagonga hadi adim
Nina mufo nimeamua kwangu uradi
Nashindwa nipigie Sharon ama nipigie Angie
Then jo hakuna mwenye ata mwenye analand
Na venye nimemaintain keja leo usafi
Nina mufo nimeamua kwangu uradi
Nashindwa nipigie Sharon ama nipigie Angie
Then jo hakuna mwenye ata mwenye analand
Na venye nimemaintain keja leo usafi
Ni kusafi, clean shine mabati
Show Angie anaeza kuja tuparty
Keja ni biggy inatosha watu 30
Freshboy mi sjai kuwa dirty
Motorbike niko juu ya Kawasaki
Wazi basi nadai mita 30
— kwa hii party sidai riba
Ukifika shusha panty, natty
Hii luku ni nasty
Nilishow Shanty asikam na pati pati
Luku yake umbwakni, shika mkono nishike shati
Nawakunywa na sijafunga natty
Wanabuya ati kutrace ni Mahdy
Wananijua mi sijai miss
Ever on hits, different beats
Take time kabla uanze kunidiss
Najua we ni snake so, sare ku-hiss hiss
Back iyo talk, si tukutane kwa ring basi
Niko on top na huwezi nitoa kwa hii nafasi
Kijana wa mashariki si mnang’am adi
EMB, hii crew huwezi beef nasi
Niko on top na huwezi nitoa kwa hii nafasi
Kijana wa mashariki si mnang’am adi
EMB, hii crew, hii crew
Nina mufo nimeamua kwangu uradi
Nashindwa nipigie Sharon ama nipigie Angie
Then jo hakuna mwenye ata mwenye analand
Na venye nimemaintain keja leo usafi
Nina mufo nimeamua kwangu uradi
Nashindwa nipigie Sharon ama nipigie Angie
Then jo hakuna mwenye ata mwenye analand
Na venye nimemaintain keja leo usafi
Niko kwa keja nimeshikilia shada
Nangoja manzi chali yake ni Osama
Chali yake ni Osama
Niko kwa keja nimeshikilia shada
Nangoja manzi chali yake ni Osama
Ni Osama